Changamoto za Madiwani na tenda zinazotoka ndani ya Manispaa

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
508
470
Nimeona nililete hili hapa maana ni dhahiri sasa kwa watu makini hii ishu ya tenda zinazotangazwa na Manispaa kuchukuliwa na Madiwani wa Manispaa hiyo hiyo hii siyo fair.

Mara Manispaa inapotangaza tenda za ujenzi imeonekana kampuni za Madiwani zimekuwa zikishinda na kuchukua kazi hiyo.

Tatizo ni pale inapotokea kampuni hiyo ya ujenzi kujenga kinyume na contract kama yule aliyejenga ghorofa kumi badala ya 7, manispaa mpaka leo imeshindwa kwenda kumkagua kwa kuwa tu ni kampuni ya Diwani.
 
Back
Top Bottom