theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Oa mkuu, usipooa kwa sasa watazalishwa hawa maana siku hizi wanagawa uchi wakiwa darasa la kwanzaMimi naona mipango yangu ya kuoa tena imeanza kufikia kikomo
Duh punguza ukali wa manenoOa mkuu, usipooa kwa sasa watazalishwa hawa maana siku hizi wanagawa uchi wakiwa darasa la kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini huoi sasa?Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?
2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.
************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dada pasua kichwa in da house![emoji13][emoji13][emoji13]
UsicheleweHakika.
Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.
Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
Huwa napenda kuandika nyuzi hizi kuwafariji msijione mko pekeenu.
Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?
2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.
************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
msome alichoandika...wana hakiHivi wasio na akili hawana haki ya kuolewa?
doh...Huo mstari hata mimi naupenda sana....awe na chura tu akili tutatumia zangu
😂😂😂Mungu wangu!usidhan ndoa ni lelemama mkuu..eti mtatumia zako😂😂😂..nakushauri usioe tu basi
sijuiKwanini asioe ?