Sababu ingine nimesahau kuisema. Kutokuaminika kuwa hatujaoa. Wewe ulikuwa huamini kuwa sijaoa ndio maana ulinikataa. Ila umekua siku hizi,maana ulikuwa pasua kichwa"Sisi ma senior bachelor"
Inamaana mpaka Leo haujaoa? Angalia watoto wa ndani ya ndoa baada ya kuoa wasije kuita babu badala ya baba.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Yote maisha, ila afrika hukosi wa kuishi nae.Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;
A patient is a 50 yrs old male, never bn married. Hel lives by himself, in able to look after himself.
Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?
Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Dogo dogo baadae kugongewa nje nje!
Aisee...changamoto ingine hioKwani wee unaingia kwenye ndoa ukidhani papuchi yako peke yako....utajinyonga kaka. Wanawake wee wachjkulie chomba cha starehe na wewe una mihela sii utakuwa unagegeda huko nje bana...kwani ukioa ndio mwisho wakubadilisha papuchi....utazingua braza ukifanya kosa la kumpenda mwanamke!!!!
Tupo wengi kwakweliMimi naona mipango yangu ya kuoa tena imeanza kufikia kikomo
Ndiyo sasa kila siku unakula nyumbani na siyo hotelini na kila siku nguo safi na zimenyooshwa kabisa kwanini tuamini hamjaoa?Sababu ingine nimesahau kuisema. Kutokuaminika kuwa hatujaoa. Wewe ulikuwa huamini kuwa sijaoa ndio maana ulinikataa. Ila umekuwa siku hizi,maana ulikuwa pasua kichwa