Changamoto za kimaisha zinataka kunifanya nichukue maamuzi magumu na ya kishetani

Utapeli unakua advanced day after day.... hakuna mafanikio ya shortcut namna hiyo

Kama umeshamuelewa huyo jamaa anataka kukufanya umuamini 100% kabla hakakutapeli either by blackmailing you kwa info zako ambazo umetuma or kwa njia nyingine kama vile kukuomba namba za kwenye card ili UWEKEWE HELA SASA na as long as ana info zako zote that means kama kadi yako ina support online payments anaweza kuvuta pesa muda wowote.

Kua makiji kijana!!!! Ishi maisha kutokana na kipato chako pole pole utaanza kuona mafanikio na hata ulipwe 1M/Month usije ukajua huo mshahara utakutosha.
Good advice

Ila kwenye suala la utapeli nipo makini sana.

Unajua pia huyu jamaa alinambia kauli moja before ambayo ilinifanya niendelee tu kumsikiliza.

Alisema "If you come here to spy me because of your Ignorance, I can't do any anything for you rather than garenting you a grave" hii kauli ilinitisha sana nikaona asijeona nam-spy acha nijue atanisaidia nini mbele ili atakaponbia masuala ya tuma pesa ndipo nitakapo mtema nimwambie sina hela ya kukupa ili aniache mwenyewe ila nikawa naona haniombi hela ananihubiria tu mambo mazuri ya huko na kazi zao kwa jamii
 
Hivi ushawahi kukaa siku moja na kujiuliza swali kuwa kwanini watu wengi wanaomtumikia Mungu wanateseka na umasikini wakati mnaowaona si wacha Mungu wengi wao ndiyo huoneakana wana afadhali ya maisha.

Kama uliwahi jiuliza swali hilo Je ulipata jibu gani ?

Na Je kama wacha Mungu wengi ndiyo masikini je Mungu anuapenda umasikini labda ndiyo maana watu wake wengi ni masikini ?

Any way mara nyingi huwa nikiingiza logic kwenye mambo ya Kimungu huwa naishia kujipiga ngumi nyingi kichwani bila majibu

Labda utakuja na ufafanuzi hapa kwanini wacha Mungu wengi Mungu ameona ni vizuri awazawadie Umasikini
mkuu chukua namba ile utakua na hela kama wakinga wa kariakoo utakua unapita na v8 barabarani na heshima utaheshimiwa
 
Poa! Ila utajiri ukishamiri utaambiwa umtoe mwanao mpendwa kafara! Ukikataa utarudia ule umasikini mara mbili! Hapo ni maamuzi magumu. Hakika imeandikwa "kwa tajiri kuingia ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano "

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa kafara ya damu nadhani wangekwambia kabla hujaingia huko...

Ingawa alinambia kafara zipo ila si za damu ya mtu bali zinakuwa kwenye material things.

Mfano alinambia nikikubaliwa basi hatua ya kwanza watanipa kazi nikatembelee hospitali ya eneo ninaloishi niwasalimie wagonjwa na kuwatia moyo pia kuwapa msaada.

Pia nitembelee kituo cha watoto yatima ambacho kipo karibu na mimi niwape msaada na vitu kama nguo lakini sasa hizo nguo ni za alama zao ya mapiramidi ya kutosha
 
Usifanye masihara na shetani. Anaitwa muongo na baba wa uongo.
Mwanakulitafuta --mwanakulipata
Fanya kazi ndugu
Shukuru unapata hata hiyo 380,000
Kuna watu wanafanya biashara kwa mtaji wa elfu 10,000
"Mwanakulitafta -Mwanakulipata " una maana gani hapa mkuu
 
My friend ulikuwa unachat na mnaijeria,anakuchora tu hiyo mwisho wa siku itakuwa blackmail utakuja kujilaumu.Mimi kitu kimoja ninachoamini kwamba maisha yamewekwa kwa namna hii:haijalishi unaamini nini lakini lazima upambane ndiyo utoboe(utakula kwa jasho).Usikae ukafikiri siku moja maisha yatakuwa marahisi kihivyo,we chagua kitu unachokipenda na ishi kwa uwezo wako.

Nilipojiunga JF mara ya kwanza nilikuwa napost picha zangu kila wakati
 
Nigerian_Scammers_687x365.jpg
 
Ukishakolea vizuri Kuna siku watakwambia tuma video ukiwa Uchi hapo ndo utafurahi show, maana watakublackmail wakupige pesa mingi.
Watakutishia kusambaza video yako, mwishowe utakuwa frustrated unajinyonga bure. Duniani hakuna pesa ya bure .
Wenzako wana miaka 5 bila ajira bado wapo nyumbani wewe miaka 2 tu unaanza kulialia FUCKOFF
 
Pole ushapotea kwa kuamini unaishi ili uwe tajiri na utajiri wa vitu ndio utakavyo duuuh pole sna
 
Wale wafanya usafi maofisini, walinzi wa makampuni mbalimbali, wafanyakazi wa wahindi mishahara yao ni 80 elfu mpaka laki moja na ishirini. Ila wana familia, wanaishi na wanasomesha. Ukiishi nje ya kipato chako lazima uuze nafsi yako na utu. Kikubwa katika maisha ni kuishi ndani ya kipato chako. Usijifananishe maisha ya wenzio uliomaliza nao chuo na yako. Hamfanani mlipotoka na safari zenu za maisha ni tofauti.

Hata ukipata kipato cha kununua gari huwezi tu kukimbilia kununua gari yoyote lazima uangalie gari utakayoimudu kulingana na kipato chako, kwahiyo we mzee baba unataka kujifanya unataka kuishi kidegree degree mtaani shauri zako. Lazima utauza nafsi na utu wako.
Nafikiri hujaelewa tu kwanini haya yanatokea.

Kwanza akili yangu sasahivi mimi naona hata kama nikaajiriwa serikali nikapata mshahara wa 600,000+plus bado naona siwezi kutoboa kirahisi labda nikafanye kazi kijijini kabisa huko amabako hamna sana gharama za maisha.

Kwa hiyo suala la kuajiriwa serikalini mimi lishanitoka kabisa maana mambo yatakuwa tu yale yale nazunguka kwenye njia ya utumwa na umasikini wakati kuna familia ya watu kama 9 hivi ndugu wa damu inakuangalia wewe kuwa walau umepata kazi.

Nilikuwa na plan ya kutafta million 3 tu niachane na hii kazi nikajiajiri mwenyewe lakini mpaka sasa nina mwaka wa pili badala ya kupata hiyo million 3 ndiyo kwanza najikuta nna madeni (yaani nimeenda negative kabisa).

Na mimi tatizo kubwa ni kwamba kila ifikapo mwisho wa mwezi ki ukweli kuna matatizo yanakujaga ambayo hata sijuagi chanzo chake huwa ni nini mpaka naanza kuhisi kuna mtu ameninuia nyuma yangu labda.

Inafika tu tarehe 20 hivi mara unapokea simu toka nyumbani mzee anakwambia bhan Ng'ombe wangu wa kulimia amekutwa machungani amekufa kwa hiyo tuchangishane laki 7 tumnunue maana wakuna wa kulimia, mwezi unaofata mama yuko hospitali opereshen inahitajika, mwez mwingine dogo anaenda chuo ada laki 9, mwezi mwingine nyumba imeingua moto kila kitu ndani kimeungua eti mtoto alikuwa anachezea kiberiti

Haya kwa kifupi hayo ndiyo yamekuwa mashida ya kila mwezi
 
Ingekuwa kafara ya damu nadhani wangekwambia kabla hujaingia huko...

Ingawa alinambia kafara zipo ila si za damu ya mtu bali zinakuwa kwenye material things.

Mfano alinambia nikikubaliwa basi hatua ya kwanza watanipa kazi nikatembelee hospitali ya eneo ninaloishi niwasalimie wagonjwa na kuwatia moyo pia kuwapa msaada.

Pia nitembelee kituo cha watoto yatima ambacho kipo karibu na mimi niwape msaada na vitu kama nguo lakini sasa hizo nguo ni za alama zao ya mapiramidi ya kutosha
 
Nafikiri hujaelewa tu kwanini haya yanatokea.

Kwanza akili yangu sasahivi mimi naona hata kama nikaajiriwa serikali nikapata mshahara wa 600,000+plus bado naona siwezi kutoboa kirahisi labda nikafanye kazi kijijini kabisa huko amabako hamna sana gharama za maisha.

Kwa hiyo suala la kuajiriwa serikalini mimi lishanitoka kabisa maana mambo yatakuwa tu yale yale nazunguka kwenye njia ya utumwa na umasikini wakati kuna familia ya watu kama 9 hivi ndugu wa damu inakuangalia wewe kuwa walau umepata kazi.

Nilikuwa na plan ya kutafta million 3 tu niachane na hii kazi nikajiajiri mwenyewe lakini mpaka sasa nina mwaka wa pili badala ya kupata hiyo million 3 ndiyo kwanza najikuta nna madeni (yaani nimeenda negative kabisa).

Na mimi tatizo kubwa ni kwamba kila ifikapo mwisho wa mwezi ki ukweli kuna matatizo yanakujaga ambayo hata sijuagi chanzo chake huwa ni nini mpaka naanza kuhisi kuna mtu ameninuia nyuma yangu labda.

Inafika tu tarehe 20 hivi mara unapokea simu toka nyumbani mzee anakwambia bhan Ng'ombe wangu wa kulimia amekutwa machungani amekufa kwa hiyo tuchangishane laki 7 tumnunue maana wakuna wa kulimia, mwezi unaofata mama yuko hospitali opereshen inahitajika, mwez mwingine dogo anaenda chuo ada laki 9, mwezi mwingine nyumba imeingua moto kila kitu ndani kimeungua eti mtoto alikuwa anachezea kiberiti

Haya kwa kifupi hayo ndiyo yamekuwa mashida ya kila mwezi
Pole mkuu

Kama ni kweli hii storee yako, hebu chunguza hamna mchawi kwenu?
 
Pole ushapotea kwa kuamini unaishi ili uwe tajiri na utajiri wa vitu ndio utakavyo duuuh pole sna
Kwa hiyo tunaishi ili tuwe masikini mkuu

Sidhani kama kuna binadamu anapenda umasikini hapa duniani.

Na mimi simaanishi kwamba kuwa tajiri lazima uwe na magari, madege sijui maviwanda hapana

Mimi utajiri wangu nikiwa tu na nyumba
nzuri ya kuishi, familia yangu mke na watoto wanapata mahitaji yote muhimu ya kimaisha basi mm huo ndiyo utajiri wangu hata kama sina gari
 
Nafikiri hujaelewa tu kwanini haya yanatokea.

Kwanza akili yangu sasahivi mimi naona hata kama nikaajiriwa serikali nikapata mshahara wa 600,000+plus bado naona siwezi kutoboa kirahisi labda nikafanye kazi kijijini kabisa huko amabako hamna sana gharama za maisha.

Kwa hiyo suala la kuajiriwa serikalini mimi lishanitoka kabisa maana mambo yatakuwa tu yale yale nazunguka kwenye njia ya utumwa na umasikini wakati kuna familia ya watu kama 9 hivi ndugu wa damu inakuangalia wewe kuwa walau umepata kazi.

Nilikuwa na plan ya kutafta million 3 tu niachane na hii kazi nikajiajiri mwenyewe lakini mpaka sasa nina mwaka wa pili badala ya kupata hiyo million 3 ndiyo kwanza najikuta nna madeni (yaani nimeenda negative kabisa).

Na mimi tatizo kubwa ni kwamba kila ifikapo mwisho wa mwezi ki ukweli kuna matatizo yanakujaga ambayo hata sijuagi chanzo chake huwa ni nini mpaka naanza kuhisi kuna mtu ameninuia nyuma yangu labda.

Inafika tu tarehe 20 hivi mara unapokea simu toka nyumbani mzee anakwambia bhan Ng'ombe wangu wa kulimia amekutwa machungani amekufa kwa hiyo tuchangishane laki 7 tumnunue maana wakuna wa kulimia, mwezi unaofata mama yuko hospitali opereshen inahitajika, mwez mwingine dogo anaenda chuo ada laki 9, mwezi mwingine nyumba imeingua moto kila kitu ndani kimeungua eti mtoto alikuwa anachezea kiberiti

Haya kwa kifupi hayo ndiyo yamekuwa mashida ya kila mwezi
Utakuja kuolewa usipokua makini. Maana unataka hela na huna plan za maisha unataka short cut.
 
Pole mkuu

Kama ni kweli hii storee yako, hebu chunguza hamna mchawi kwenu?
Mkuu mimi nimetoka familia ya kilokole sana ambayo mzee wangu ni Mchungaji wa kanisa mpaka sasa ninavotoa hii stori.

Na kuhusu mambo ya uchawi huwa siamini sana maana huwa nadhani sijawahi kulogwa na ki ukweli mimi mambo ya kichawi huwa nayaona tu you tube na kwenye TV ili sijawahi kuyaona live zaidi tu nasikiaga watu wanaloga kitu kama stori tu ama nadharia naziita.

Ki ukweli kama nalogwa basi nalogwa bila kujijua na mara nyingi huwa siamini sana katika mambo hayo
 
Chapati hujaweka mafuta,,,
Sukari hujaweka kwenye chai

Siwezi kunywa hii chai.
 
Back
Top Bottom