Changamoto yangu ya kwanza ngumu kazin!

Changamoto yangu ya kwanza ngumu kazin!

iyo uloenda si "guest house" ni "rest house kwa ajili ya wenyej" , pole sana mkuu!
 
Kazini kwako wamekutathmini ww na cv zako wameona hapo ndipo unapostahili
Km umemaliza wiki basi unafurahia mandhari na km ungekuwa hufurahii mandhari ma sio sehemu ya hadhi yako mi naona hata ww mwenyew ungeamua kuhama bila kuomba
Bure ina gharama
 
Back
Top Bottom