nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
tatizo wahusika wa watumishi hewa ndo wanahakiki watumishi haa haaa..
Mkuu nashukuru. Pamoja sana. Hilo la kujichomeka ni kukosa ustaarabu. Ingebidi viongozi wanaosimamia hili zoezi waweke utaratibu wa kueleweka ili anayewahi kupanga foleni ndie awe wa kwanza kuhakikiwa.
Hoja yako ndio inaonyesha utoto. Sehemu yoyote yenye watu wengi inahitaji kuwa na utaratibu. Huwezi kuita watu zaidi ya mia tatu bila kufuata utaratibu maalumu. By nature, binadamu wakiwa wengi na huduma pungufu lazima kutakuwa na vurugu. Hii ni kwasababu watu wote sio sawa sawa kwani wamezaliwa na kukulia kwenye mazingira tofauti tofauti.Kwani hao watumishi ni watoto wa shule mpaka kiongozi awepo?
Kwani ninyi wenyewe hamuwezi kujipanga kwa kufuata taratibu za FIFO (First in, First out)?
Hoja ya kitoto hii wala haina mashiko kuileta hapa.