Changamoto ya Uhakiki wa Watumishi Halmashauri ya Meatu

Aliye likizo wakaguzi wana angalia barua za ruhusa,na walio masomoni wakaguzi wanakagua release letters za walio masomoi!
huwezi kudanganya kwani wanakagua salary slip za mtumishi na cheque namba yake!na sharti moja wapo la ukaguzi na mtumishi kuonana na mkaguzi ana kwa ana

Hivi hewa hazina likizo? Hewa haziwezi kutengenezewa sfari ya kiofisi? Mishahara ya hewe hutoka kwa salary slips pia mkuu, chque number si ndiyo ajira yenyewe? Mfano mtu alikufa au aliacha kazi, cheque number yake kama haikuondolewa maana yake anaendelea kuwepo na ndiyo sababu analipwa mishahara. Ikumbukwe watumishi wa hewa mara zote huwa ni mkono wa nyuma wa uongozi. Uongoiz ambao ndio hutoa likizo, na nyaraka za safari za watumishi, michango ya hifadhi za jamii kama zipo n.k. Watakaokamatwa ni wale hewa wa viongozi wasiotumia ufahamu.
 
Wanawasu
Naupongeza Uongozi wa Raisi Magufuli kwa Kuagiza Uhakiki wa Watumishi Hewa Nchini Kote. Leo Hii na Jana Ndio Siku za Uhakiki Hapa Meatu. Ila Tangu Asubuhi Nimezishuhudia Changamoto Zifauatazo:

a)Uongozi Wa Halmashauri Kukosa Hekima na Ubinifu. Mathalani Wameshindwa Kuwapanga Watumishi Katika Mistari na Kupelekea Watumishi Kujichomeka Katika Mistari

b)Watumishi Kufanya Uhuni wa Kujichomeka Katika Mistari

c)Watumishi wa Kike Kujibebesha Watoto Hili Wahudumiwe Haraka

Ushauli:
Ofisi ya Afisa Elimu(msingi) na Afisa Elimu(sekondari) Wawaite Watumshi Walio Chini Yao Katika Ngazi ya Aidha Tarafa au Kata Hili Kuepusha Foleni Ndefu Kama ya Akina Mama Wa Tandale Kwa Mtogole Wanaosubiri Kuchota Maji Pale Lingo la Kuni!
Wanawasumbua bure,hao wakuu wa idara wanawajua vyema watumushi hewa!Na wanafaidika na mishahara yao kupitia wahasibu
 
Uhakiki mzuri ni pale unampofuata mfanyakazi kituo chake cha kazi na kumkagua uhalali wake kwa kuangalia vigezo ainishi na sio kukurupuka kama hivyo.
Ninayo hakika bila ya kuwa na mpangilio mzuri hili zoezi litarudiwarudiwa sana na matokeo yake litaigharimu serikali pesa nyingi.
mkuu,walisha kagua tarehe 25 mwezi wa tano kwa kuwafuata watumishi katika kata zao,hila nashangaa sasa hivi kuwataka watumishi kuwafuata wakaguzi halmashauri!kuna watu wametoka bukundi,sakasaka,nyalanja na makao karibu 80-100 kilomita kutoka mjini mwanhuzi yalipo makao makuu ya halmashauri!ni usumbufu wa muda na pesa!mathalani kuna foleni ya walimu wa idara ya msingi ina urefu wa hata mita 100 mpaka 500!ni usumbufu na tena nasikia wakaguzi wakitoka hapa meatu,kesho wataenda maswa!kwaio wako under pressure!
 
Inavyoonekana ule ukaguzi wa mwanzo ulikuwa wa kimagumashi. Unaweza kuta wale waliokagua mwanzo waliwaficha hao watumishi hewa, sasa wanawasumbua walimu buree
 
Mkuu naomba niulize zaidi. Huyo mkaguzi anatoka wapi i.e. anajua watu wote walio katika ofisi husika? Kwa mfano mimi ni mkurugenzi na nina watumishi hewa ambao

Nakubaliana na wewe. Mimi (japo sina undani wa namna wafanyakazi hewa wanavyo exist na kulipwa) lakini naona kama kunaweza kuwa na udanganyifu baadhi ya sehemu
wakaguzi wametoka shinyanga kule kwa mama kilango!ili kuwatambua watumishi hewa watumishi wanao kaguliwa inabidi waende wenyewe na wafanyiwe ukaguzi wa ana kwa ana!na cheque namba zina majina ya watumishi yao!na baada ya kuliona jina lake,cheque na kitambulisho chake basi mkaguzi humtiki kuwa yupo na ukaguzi uisha na mtu mwingine huitwa!
 
mkuu,walisha kagua tarehe 25 mwezi wa tano kwa kuwafuata watumishi katika kata zao,hila nashangaa sasa hivi kuwataka watumishi kuwafuata wakaguzi halmashauri!kuna watu wametoka bukundi,sakasaka,nyalanja na makao karibu 80-100 kilomita kutoka mjini mwanhuzi yalipo makao makuu ya halmashauri!ni usumbufu wa muda na pesa!mathalani kuna foleni ya walimu wa idara ya msingi ina urefu wa hata mita 100 mpaka 500!ni usumbufu na tena nasikia wakaguzi wakitoka hapa meatu,kesho wataenda maswa!kwaio wako under pressure!
Haa haa. Watu walishafanya kazi kimazoea lakini baada ya kusikia mkuu wa mkoa ametoswa wame-panic. Njia nzuri sana ya kuwamaliza wafanyakazi hewa ni Magufuli kusema kila wilaya itapitiwa na kikosi cha uhakiki na atakayekutwa amelipua au kudanganya atakiona cha moto.
 
wakaguzi wametoka shinyanga kule kwa mama kilango!ili kuwatambua watumishi hewa watumishi wanao kaguliwa inabidi waende wenyewe na wafanyiwe ukaguzi wa ana kwa ana!na cheque namba zina majina ya watumishi yao!na baada ya kuliona jina lake,cheque na kitambulisho chake basi mkaguzi humtiki kuwa yupo na ukaguzi uisha na mtu mwingine huitwa!
Kinachotakiwa huyo mtumishi asaini kwenye listi au fomu ya mahudhurio baada ya kukaguliwa, tiki pekee hajitoshelezi kama uthibitisho wa kukaguliwa!
 
Hapa kuna uhuni wa hali ya juu, kwanini kila mmoja asihakikiwe kwenye kituo chake cha kazi? hili nimeliona kishapu walimu walikuwa wanatoka shinyanga mjini kwenda kuhakikiwa pale kwenye stoo ya pamba mipa, huyu mwalimu wa kishapu anayefundisha huku akiishi shinyanga mjini huyu ni hewa tu kazini anafika saa ngapi? wapo walimu wanafundisha shule za private huku wakivuta mshahara wa serikali nao ni hewa tu hao.
 
Inavyoonekana ule ukaguzi wa mwanzo ulikuwa wa kimagumashi. Unaweza kuta wale waliokagua mwanzo waliwaficha hao watumishi hewa, sasa wanawasumbua walimu buree
Mkuu,wakulaumiwa ni Mama Anne Kilango!Huu Upepo Ulishapita Sema Yule Mama Ndio Kaurudisha!
 
Haa haa. Watu walishafanya kazi kimazoea lakini baada ya kusikia mkuu wa mkoa ametoswa wame-panic. Njia nzuri sana ya kuwamaliza wafanyakazi hewa ni Magufuli kusema kila wilaya itapitiwa na kikosi cha uhakiki na atakayekutwa amelipua au kudanganya atakiona cha moto.
 
Hapa kuna uhuni wa hali ya juu, kwanini kila mmoja asihakikiwe kwenye kituo chake cha kazi? hili nimeliona kishapu walimu walikuwa wanatoka shinyanga mjini kwenda kuhakikiwa pale kwenye stoo ya pamba mipa, huyu mwalimu wa kishapu anayefundisha huku akiishi shinyanga mjini huyu ni hewa tu kazini anafika saa ngapi? wapo walimu wanafundisha shule za private huku wakivuta mshahara wa serikali nao ni hewa tu hao.
Anne Killango ndio wa kulaumiwa!
 
sasa hadi mistari mnashindwa kujipanga!?, mnasubiri mpangwe/msimamiwe na hao watu kutoka halmashauri!?.......kumbe ndo maana baadhi yaviongozi huwa wanawatia viboko tu!
 
hao wanaojichomeka ndio walimu hewa, ma house girl na mamalishe wamepewa vitambulisho bandia wakahesabiwe. mwalimu aliyehitimu hawezi kukosa adabu kiasi hicho. hilo zoezi lifutwe lianze upya limeshajaa magumashi.
 
hili zoezi wangelileta katika ngazi ya kata lingekuwa lenye tija sana,ila likiendelea hivi sijuhi itakuwaje!?
 
Aliye likizo wakaguzi wana angalia barua za ruhusa,na walio masomoni wakaguzi wanakagua release letters za walio masomoi!
huwezi kudanganya kwani wanakagua salary slip za mtumishi na cheque namba yake!na sharti moja wapo la ukaguzi na mtumishi kuonana na mkaguzi ana kwa ana
.....hilo la kuonana ana kwa ana sawa, maana hizo sijui relase letter na mambo kama hayo yanatengenezwa tu
 
sasa hadi mistari mnashindwa kujipanga!?, mnasubiri mpangwe/msimamiwe na hao watu kutoka halmashauri!?.......kumbe ndo maana baadhi yaviongozi huwa wanawatia viboko tu!
hawa ni watumishi hewa.
 
Hata mtoa mada naye ni changamoto pia kwa hiyo Halmashauri maana hajielewi.
 
uhakiki uko makini mkuu,mpaka sasa kuna watumishi hewa 15 walio kwisha gundurika!
watumishi wote wa halmashauri wamejipanga katika mistari ili kuingia ndani ya ukumbi wa halmashauri kuhakikiwa!sasa kuna watumishi walio kosa ustaarabu wanao jichomeka katika mistari kinyemela badala ya kufata utaratibu
Sasa aliyekosa hekima na busara ni uongozi wa halmashauri au ni nyie watumishi(bila Shaka ni walimu) ambao mnashindwa kujiheshimu na kupanga mistari ili muhudumiwe?
 
Back
Top Bottom