Changamoto ya Ndoa

kibella24

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
677
158
Jamani mi napenda kujua, na mtu yeyote anaweza toa mawazo wake hata kama hajaoa bado. Hivi kutoka nje ya ndoa ( kuwa na mpnz mwingine nje ya ndoa) kunasababishwa na nini?? na kwanini cku hizi swala hili limekuwa common sana???
 
ni tamaa tuu hamna lingine hapo halafu sisi wanawake ni kama tumekubaliana na hilo na ndo maana wanaume wanaona wamepata kama karuhusa fulani hivi same goes kwa upande wa pili pia,,,, inasikitisha lakini ndo ukweli huo... cha kufanya ni kumuomba Mungu tuu akujalie mwenzako asiwe mpenda kutoka sana asije akakuletea na maradhi yasiyo na tiba...
 
Kunaweza kusababishwa na.
1. Tamaa
2. Kutoridhishana wakati wa tendo kati ya me/ke kunaweza sababisha mmoja kutoka nje
3. Kupungua kwa upendo kati ya mke na mme kunaweza kuwa sababu ya mmoja kutoka nje!
 
samahani kama nitakukwaza kwa hili! jee wewe hii inakuhusu au unaisikia kwa watu....? au marafiki zako wanafanya...? hili jambo sio kila mtu anafanya ni baazi ya watu hasa wilio kosa amaadili mema.kwahili nakupinga sio wote wenye tabia mbovu kama hizo.
 
Jamani mi napenda kujua, na mtu yeyote anaweza toa mawazo wake hata kama hajaoa bado. Hivi kutoka nje ya ndoa ( kuwa na mpnz mwingine nje ya ndoa) kunasababishwa na nini?? na kwanini cku hizi swala hili limekuwa common sana???

kinachosababisha ni kuchoshwa na uyo uliyenaye japo kumuacha inakuwa ngumu coz anakusaidia mambo fulani fulani kama fedha etc ila hupati vingi ulivyokuwa ukpata zamani au hujawai kupata kabisa kutoka kwa uyo mtu wako eg hakufikishi kwenye kilele cha mlima kilimanjaro wakati wa shughuli ya sita kwa sita
 
Dah anne Maria, kwahiyo inaonekana kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida sasa, na inabidi tukubaliane nalo tu ila tujitahidi kupunguza frequency!!MMMMMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mshangae na wewe!

Mwanaume kutoka nje ya ndoa ni dalili ya uvivu! Tena ni aibu kwake kabisa! Hakuna mwanaume anaeweza kuridhisha wanawake wawili! Ukiona unatoka nje ni uvivu wa kumridhisha mkeo ndo unakusumbua. Ujijue una-bip kama yule wa 3 minutes kama uji wa quicker oats (instant meal). Na mkeo kama ana akili akijua anakudharau badala ya kuumia!

Ushahidi ni kuwa wanaume wanaotoka nje wake zao nao wanatoka (na ni majority siku hizi). Ni vile wanawake hawashoboki so hawaonekani sana.

Niliambiwa hata Mtume akiruhusu kuoa wake wengi haikuwa kwa ajili ya ngono bali kwa ajili ya 'kuwasitiri' wanawake. Sasa kama issue ni satisfaction ya ngono, si muoe wake wengi?

Hivi wewe Billie ukitoka nje ya ndoa yako utakuwa unaenda kutafuta nini wakati mkeo tu umesema anakuua
 
Mshangae na wewe!

Mwanaume kutoka nje ya ndoa ni dalili ya uvivu! Tena ni aibu kwake kabisa! Hakuna mwanaume anaeweza kuridhisha wanawake wawili! Ukiona unatoka nje ni uvivu wa kumridhisha mkeo ndo unakusumbua. Ujijue una-bip kama yule wa 3 minutes kama uji wa quicker oats (instant meal). Na mkeo kama ana akili akijua anakudharau badala ya kuumia!

Ushahidi ni kuwa wanaume wanaotoka nje wake zao nao wanatoka (na ni majority siku hizi). Ni vile wanawake hawashoboki so hawaonekani sana.

Niliambiwa hata Mtume akiruhusu kuoa wake wengi haikuwa kwa ajili ya ngono bali kwa ajili ya 'kuwasitiri' wanawake. Sasa kama issue ni satisfaction ya ngono, si muoe wake wengi?

yani we huku humridhishi mke wako halafu unaenda kumtafuta mwanmke mwingine unaend kuibiwa tu huna lolote halafu unajidharaulisha unajiona kidume wapiii tulieni na wake zenu kuweni wawazi kila kitu kitaenda shwari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom