Ni kuchangia tu gentleman,Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia au inawaongezea mzigo wa kifedha.
Badala ya kuendelea na utaratibu wa kuchangia harusi na misiba, ni vyema jamii yetu ianze kuzingatia michango kwa ajili ya mambo ya msingi kama,
- Elimu: Kuchangia ada za shule kwa watoto wa familia maskini ili kuwapa fursa ya kupata elimu bora.
- Afya: Kuchangia gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaohitaji msaada wa haraka.
- Biashara: Kusaidia mitaji ya biashara kwa vijana na wanawake ili kuwawezesha kujitegemea kiuchumi.
Ni wakati sasa wa kubadili mtindo wa michango katika jamii yetu. Badala ya kuwekeza katika sherehe za kifahari, tuwekeze katika maendeleo ya kijamii kwa kuchangia elimu, afya, na biashara.
Je, tunahitaji kubadili mtindo huu wa michango ya harusi ili kulinda uhusiano wetu wa kijamii na kifamilia? Ni wakati wa kutafakari na kuchukua hatua.
~Chavalikungu hapa ,nilifunga ndoa misa ya asubuhi nilipotoka nkaenda zang kufyatua tofali za biashara
Tatizo huwa linaanzia hapaa! Yaani ukichangiwa shughuli yako, nawe jiandae kuandamwa na shughuli za watu. Mimi pia nilifunga ndoa misa ya asubuhi jumamosi moja; kisha wapambe nikawapeleka hoteli tukapata menu na kinywaji kidogo saa 8 mchana biashara kwisha...!~Chavalikungu hapa ,nilifunga ndoa misa ya asubuhi nilipotoka nkaenda zang kufyatua tofali za biashara
NAUNGA MKONO HOJA NA HILO NALIFANYA KWA KADIRI YA UWEZO WANGU,IKIBIDI HUWA NASHIRIKIKuchangia msiba sawa kwa sababu ni jambo linalotokea bila kutarajia
Mgonjwa anaweza akachangiwa kwa ajili ya matibabu na akafariki vile vile so kuchangia msiba pia ni jambo la heri
SIJUTII HILI LAKINI WALINIITA MBAHILI,NKAMCHAPA WIFE KA 1M KA MTAJITatizo huwa linaanzia hapaa! Yaani ukichangiwa shughuli yako, nawe jiandae kuandamwa na shughuli za watu. Mimi pia nilifunga ndoa misa ya asubuhi jumamosi moja; kisha wapambe nikawapeleka hoteli tukapata menu na kinywaji kidogo saa 8 mchana biashara kwisha...!
nina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70KSio lazima uanzishe Uzi.
We fanya maamuzi kwamba huchangii harusi basi! Mbona wapo watu kibao hawchangii harusi tena ni watu weny vipato TU!
Ila kwakweli ni upuuzi...unatoa laki yako unagharamia usafiri, viwalo, etc....halafu ukumbini kamati inatoa vinywajibkwa upendeleo kisa wabakishe vinywaji vya kuvunjia kamati. 😂🤣
Kwa laki yako ukienda Chinese restaurant unafaidi taste mpyampya na mkeo mnadumisha upendo shwaaaah
NI HUZUNIKuna jamaa mmoja hapa nusura nimzabatue makofi, kachapisha kadi za mchango wa harusi watu wamchangie. Cha ajabu anaishi vizuri tu na mke wake na wana watoto wanne! Eti anasema hana ndoa anataka afunge ndoa na huyo mke wake. Sasa si akafunge tu!?. Ni usumbufu kufanya sherehe ya harusi kwa kutegemea mifuko ya watu. Zamani watu walijibeba wenyewe kufanya sherehe bila kuchangiwa. Utalisha watu kwa mfuko wako mwenyewe
Yani 70k ndo single skuizinina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70K
Nichangie nikale mkuu, sijalaNi kuchangia tu gentleman,
ikitokea harusi changa, ikitokea msiba changa, ikitokea michango ya matibabu au elimu changa tu gentleman,
hakuna haja kukwepa kwa makusudi mambo haya ya kijamii ambayo ni madogo madogo tu Lakini ni muhimu sana.
In fact,
vikundi vingi mijini vimejikita zaidi kwenye harusi, misiba, afya, kukopeshana na get-together.
Tuendako elimu itapewa umuhimu wake tu 🐒
cc Dr am 4 real PhDnina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70K