Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 727
- 1,210
Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba kisima cha mashine na kawaida nmeona hili).
Maji siku zote huzingatia gravity meaning maji yakimwagika chini huzama ardhini. Je sisi ni watu wa namna gani kusubiri mvua inyeshe ndio tupate maji. Inamaana isiponyesha kwa miaka 3 hili taifa halitakuwepo.
Je sisi tuko serious kweli au bora tuwe colonized na wenye akili kama viongozi ndio hawa.
Je tumeshindwa kusafisha maji ya bahari yafae kunywa?...mbona visima vinavyotoa maji ya chumvi vinaweza kusafishwa maji yake kuwa mazuri.
Je ziwa victoria imeshindikana kuvuna maji yake yapite kila mkoa kuhudumia watu?...mbona reli imeenda hadi kigoma na gesi tumeweza kuitoa mtwara hadi ubungo.
Jr hv tuko serious kweli hli taifa??