Nyakisasa Empire Member Joined Sep 21, 2022 Posts 62 Reaction score 62 Nov 6, 2022 #1 Habari zenu. Leo nawaletea Kampuni ya Kukusanya Madeni. Ni Kampuni iliyosajiriwa Tanzania mwezi March,2020 yenye leseni ya kukusanya madeni na kuendesha minada. Imewasaidia wafanyabiasha,watu binafsi,na taasisi mbalimbali katika changamoto ya kukusanya Madeni sugu na kawaida. Kama ni mfanyabiashara madeni yameathiri biashara yako utarudi kwenye biashara yako kama zamani. Mtu binafsi umeshindwa au kuchoka kufuatilia deni lako, tutahakikisha deni lako linalipwa. Tunapatikana Arusha. Tunatoa huduma mikoa yote ya Tanzania bara. Tupigie +255782396666 Email info@nyakisasaempire.co.tz
Habari zenu. Leo nawaletea Kampuni ya Kukusanya Madeni. Ni Kampuni iliyosajiriwa Tanzania mwezi March,2020 yenye leseni ya kukusanya madeni na kuendesha minada. Imewasaidia wafanyabiasha,watu binafsi,na taasisi mbalimbali katika changamoto ya kukusanya Madeni sugu na kawaida. Kama ni mfanyabiashara madeni yameathiri biashara yako utarudi kwenye biashara yako kama zamani. Mtu binafsi umeshindwa au kuchoka kufuatilia deni lako, tutahakikisha deni lako linalipwa. Tunapatikana Arusha. Tunatoa huduma mikoa yote ya Tanzania bara. Tupigie +255782396666 Email info@nyakisasaempire.co.tz
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Nov 6, 2022 #2 Kemea pepo.
sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 Nov 6, 2022 #3 Sawa, madeni ya Songesha, Tigo nivushe na ya aina hiyo msihusike nayo
Nyakisasa Empire Member Joined Sep 21, 2022 Posts 62 Reaction score 62 Nov 6, 2022 Thread starter #4 sanalii said: Sawa, madeni ya Songesha, Tigo nivushe na ya aina hiyo msihusike nayo Click to expand... Madeni yenye maandishi( ushahidi)
sanalii said: Sawa, madeni ya Songesha, Tigo nivushe na ya aina hiyo msihusike nayo Click to expand... Madeni yenye maandishi( ushahidi)
Skyblue Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 196 Reaction score 55 Nov 6, 2022 #5 Hatari na nusu.....hiyo wenyewe hamdaiwi kweli...nauliza tu jamani.?
Nyakisasa Empire Member Joined Sep 21, 2022 Posts 62 Reaction score 62 Nov 6, 2022 Thread starter #6 Skyblue said: Hatari na nusu.....hiyo wenyewe hamdaiwi kweli...nauliza tu jamani.? Click to expand... Tunadaiwa
Skyblue said: Hatari na nusu.....hiyo wenyewe hamdaiwi kweli...nauliza tu jamani.? Click to expand... Tunadaiwa
H Hoaxer JF-Expert Member Joined Sep 7, 2022 Posts 2,726 Reaction score 6,884 Nov 6, 2022 #7 Branch, Songesha na Mpawa wanaijua hii kampuni. Mpawa ndio hawasahau Deni lakini branch ni mkopaji friendly.
Branch, Songesha na Mpawa wanaijua hii kampuni. Mpawa ndio hawasahau Deni lakini branch ni mkopaji friendly.