Changamoto ya kupata sehemu ya kufanya field

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,600
Habari poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Mimi ni mwanafunzi wa undergraduate wa mwaka wa pili nachukua course ya BSc MTA (Multimedia Technology and Animation).

Nipo likizo tumepewa jukumu la kuomba field kwenye organisation mbalimbali. Nipo Dar es salaam ila ni mgeni kabisa hasa pa kuanzia kupeleka maombi ya kufanya field. Nilikuwa naomba mwenye kuelewa organisation ambazo ni rahisi kupata sehemu ya kufanya practical field hasa katika masuala ya graphics design, website na masuala ya it kiujumla.

Msaada tafadhali .Asante.
 
Mkuu pole sana naelewa ugumu wa kupata field!Nadhan unaona hali ilivyo hio ni field tu kupata ni shida bado hujamaliza chuo na kutafuta ajira.Muhimu kujipanga mapema na kutokuwa na expectation kubwa ya kuajiriwa baada ya kumaliza chuo.
Unaweza jaribu kwa hawa jamaa wa UBONGO KIDS
Unaweza kugoogle Home - Ubongo Learning | African Children's Media & Edutainment au kuwacheki Contacts zao hizo
+255 685 012 897
P.O. Box 66647,
1st floor FSM House,
614 Kimweri Ave.
Msasani, Dar es Salaam
Tanzania
 
Back
Top Bottom