Kama ni hivyo, unaweza kushtaki chuo kama itasaidia. Japo kwa upande wangu nadhani ni vema umwone Exam officer myajenge kama ni mwelewa. Shida ya mifumo yetu ni kwamba kwenda mahakamani wakati mwingine haikuhakikishii kuwa utapata haki yako. Taasisi nayo inaweza kutumia nguvu kubwa kuhakikisha chuo hakipati dosari. Lkn kama una evidence zinazojitosheleza "its okay" kwenda mahakamani.