Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

"Sex Appetite " umeishushaje?
 
NAKAZIA
 
Siku mchana ukinyandua usiku napo hua zinatoka?
Ni ngumu kufanya sex mchana hata mara 2 alaf na usiku umwage involuntary.

Ila mtoa mada nina muamini. Hana sababu ya kudanganya.

Ni tatizo. Na ipo haja tugeukie upande wa kiiman.

so far ushafanya lolote la kiiman?.
Ushaombewa? Ww unasali kabla ya kulala? Unalaa na Quran au Biblia?.
 
Jibu ni hili hapa.

Sababu
uko kwenye reproductive age.
Semen zinazalishwa kwa wingi.

Ila inaonekana semen hazitoki,
PRoduction iko juu ila matumizi hakuna.

unapolala mwili unarelax, brain inakuwa haina kazi nyingi , inafungua kichupa cha semen na kuzipunguza.

Inavyoonekana una tamani kuzichapa papuchi ila huzichapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…