NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Wandugu nimeona niulizie kupita hapa huenda wengine kipindi hiki wamepata hili tatizo.
Whatsup yangu inaonyesha ilikuwa outdated mwisho tarehe 28 march nikibonyeza download
Ili iji update inaonekana kuwa inaji update inaweka neno pending maana yake inaji synchronize kuwa inajiweka sawa lakini hili zoezi halifanyiki inakuwa busy hata kwa masaa.
Najiwa na wazo kuwa labda ni uninstall whatsup kabisa nianze upya hofu yangu ni kuwa memory zangu zote na members wangu wote watafutika nimesita kidogo.Naomba wataalamu wa hii kitu wanishauri kwa faida ya wote humu.