Kitaalamu kila ununuapo Gari mpya toka kwa mtengenezaji au msambazaji maalumu unaposhwa kupokea baadhi ya mafunzo kwaajili ya kulitumia hilo gari. Pia wahusika wa kulitumia hilo gari hasa la kubebea washitiri wanapashwa kuwa na mafunzo kwaajili ya kuwahudumia washitiri kwaajili yakuwapa amani na furahaa ktk safari yao, hii naisema kwa kadiri ya uzoefu wangu sehemu nilizo fanyia kazi.