Changamoto noah za Arusha -Namanga

Changamoto noah za Arusha -Namanga

briophyta plantae

Senior Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
120
Reaction score
140
Noah za Arusha to N
amanga zimekuwa na changamoto mbalimbali na hazifuatiliwi na vyombo husika. mojawapo ya changamoto hizo ni:-
-watu kubanana sana
-kubadilisha nauli wanavyojisikia(mbali kabisa na nauli iliyopangwa ya tsh 7,000 kwa noah na 5000 kwa hiace)
-kauli mbovu na ubabe kwa wateja.
-vinara wa kupitisha magendo e.g. miraa na baadhi ya bidhaa.
wahusika walifanyie kazi,wananchi wanapata usumbufu usio wa kawaida licha ya sheria na vyombo vya usalama.

images (31).jpeg
 

Attachments

  • images (30).jpeg
    images (30).jpeg
    27.1 KB · Views: 21
Hao unao watuma ndio wamiliki w izo bznes.poleni tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom