Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Mimi pia nipo financial institution najua uchungu huu na hiyo ishu yake ni ndogo sana only 30 minutes iko poa,hamna haja ya kufika huko aishie kwa Branch manager inaishaYes i know...na fine ni one million kwa kila siku tangu issue imerepotiwa bila kufanyiwa kazi.so kama issue ipo pending for 30 days..basi itakua ni 30*1000,000 so total ni 30,000,000m.. therefore wwkipigwa fine ndo adabu itakuja na hiyo option yakwenda BOT ni last option baada ya hizi jitihada zake za kuhangaika na Exim bank(fnb acquirer) kugonga mwamba. Na anataikiwa a lodge official complaint kwenda bank husika na a baki na copy yake ya complain lodgement na agongewe muhuri wakuonesha complain yake ilikua received.
Advanced kwa wafanyakazi na wafanyabiashara wa mjini, sio sisi wa bush hazija cater mahitaji yetu wa bushiBanking ni sector imeshakuwa advanced sana siku hizi.
Na ushamba wako unadhani huduma mpaka uende tawini.
Siku ukitumia stanchart ndo utajua maana ya advanced banking services.
Kwanza unaenda kwenye tawi la bank kufanya nini.?
KenyaHivi Equity ni ya wapi
Fnb sio benk ndogo , ni benki kubwa sana South AfricaHivi vibenk vidogo huwa naviogopa sana ķuweka visenti vyangu huko!.
Yes tena kwa mfano Equity nilifungua na Kitambulisho cha kupigia kura tu, back 2017. Ila kwa sasa watakuwa wanataka NIDA.Kitambulisho tu cha taifa unafungua account
Bro Mimi nilikuwa na account mbili zote ziliamishiwa Exim tokea July mwaka Jana . FNB wakati wanafunga kazi wikuwa wamebaki na branch 3 tu head office ambayo ilikuwa Amani place Ohio Street, peninsula branch ambayo ilikuwa Toure drive masaki na Arusha branch. Nina fahamiana na wafanyakazi wake. wote walikipwa mafao Yao zikafungwa zote mwaka Jana . Naomba unitajie hata branch ya FNB ambayo iko waziBado wapo Mkuu wanafanya kazi, huyo mtoa mada si kasema alienda bank wakampa fomu ajaze taarifa zake ?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kuna sim banking, kuna muda internet bankingNi kweli ukipoteza kadi kama upo Songea inakubidi upande Basi kwenda Dar kufata kadi mpya.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Lkn mnyiramba pesa unazo nyingi bwanaa
Samahani mkuu, nje mada wewe ni Mguu wa Chemba au ni pacha wake ?Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!
Efata ndoo benki ipi hio mkuu.....si ungeomba refund??Kwa maneno haya unataka kusema mdau atakuwa amepigwa kwenye mshono? Nayajua maumivu yake.
Hizi bank za kuunga unga toka ile efata iondoke na million nane zangu hunikuti humo, NMB na CRDB japokuwa wana vitozo vya ajabu ajabu lakini bado wanafaa sana kwa sisi wa vipato vya kawaida.
Internet banking ipoje hio mkuu.....na makato ya absa bank yapojeWatu wanaongea tu, bank kama ABSA kwangu ni bank bora kuliko bank zote za ndani ( local ), huduma za jamaa faster sana hadi unafurahi, kwa sie wafanya online transaction na internet bank ndio mwake
Naomba faida za equity bank(ikiwemo makato ukitoa benk zao n.k).......pia mahitaji ukitaka kufungua akaunti ni yapi??Yes tena kwa mfano Equity nilifungua na Kitambulisho cha kupigia kura tu, back 2017. Ila kwa sasa watakuwa wanataka NIDA.
Ndani ya nusu saa nilikuwa nishakamilisha kila kitu na mpaka Visa card yenye jina langu washaniprintia.
KCB ndio nilitumia NIDA na wenyewe ndani ya muda mfupi account ikawa tayari. Ila kadi nilisubiri 3 weeks maana kadi zao zinatoka Kenya.
Beba nida nenda tawi la benk hakuna mahitaji yoyote, me nilifungua kwa voters id mwaka 2017,Naomba faida za equity bank(ikiwemo makato ukitoa benk zao n.k).......pia mahitaji ukitaka kufungua akaunti ni yapi??