Shy, nimekuelewa, nashukuru kwamba tech hiyo imechelewa kuja mpaka tumeweza kugundua madudu yaliyokwisha wekwa wazi. Hata hivyo, bado ninaamini kwamba huu ni wakati ambao Mungu ameamua kuweka wazi ufisadi. Hivyo hakuna atakaye zuia.
MUNGU WA MBINGUNI IPONYE NCHI YETU DHIDI YA UFISADI.