Changamoto kwa JF

nziku

hiyo ni biashara halali kabisa

kwahiyo kama mtu anataka programu za hivyo kuweza kusimamia shuguli zake zaoffice au hata komputer moja inawezekana
 
nziku

hiyo ni biashara halali kabisa

kwahiyo kama mtu anataka programu za hivyo kuweza kusimamia shuguli zake zaoffice au hata komputer moja inawezekana

Shy, nimekuelewa, nashukuru kwamba tech hiyo imechelewa kuja mpaka tumeweza kugundua madudu yaliyokwisha wekwa wazi. Hata hivyo, bado ninaamini kwamba huu ni wakati ambao Mungu ameamua kuweka wazi ufisadi. Hivyo hakuna atakaye zuia.

MUNGU WA MBINGUNI IPONYE NCHI YETU DHIDI YA UFISADI.
 
Fisadi ni Adui wa Haki hana haki mbele ya wenye haki hata siku moja simtofautishi na Jambazi kwani yu tayari kuua kwa ajili ya Uroho wa tumbo lake, ni mambo ya Manenge na Mandawa tuu!

Vita yake inapiganwa na yeyote mtakia mema Tanzania hii awe CCM au CHADEMA!! au awe Mpagani wa Itikadi.
 
Pale Ninepoenda Kufanya Kazi Sitambui Na Sintotambua Ufisadi Wa Mtu Au Watu Mimi Naenda Kufanya Kazi Niliyotumwa Au Kuelekezwa Kufanya

Mengine Yote Naacha Nyumba Kwa Sababu Hayako Katika Makubaliano Yetuya Kazi

Kama Yeye Ni Fisadi Atajijuu Ni Mambo Yake Binafsi
 
shy na rangi zake za asili.

sawa mkuu
 
Tumeshazima Hoja

Mwingine Nani ?

Aje Nimetunisha Kifua

Lunyungu ?

Hapo Kwako Umeme Umesharudi ?? Auunaendeleakulia Na Tanesco?
 
Tumeshazima Hoja

Mwingine Nani ?

Aje Nimetunisha Kifua

Lunyungu ?

Hapo Kwako Umeme Umesharudi ?? Auunaendeleakulia Na Tanesco?

Hoja gani umeizima mi hata huwa sielewi unaongelea nini, unajua inawezekana ukawa na point lakini labda unaandika kwa jazba unajikuta hujasema kitu. Hoja hapa ni uozo kufichua uozo na kila mtu apulize filimbi ili wengine wasikie!! ukifanya kazi yako na pakaharibikiwa ujue wote mliochini ya mwamvuli mmeshiriki kuharibu.

Ukimuona mtu anafanya dhambi na ukakaa kimya na we ni mdhambi tuu!
 
Yaani kuna binadamu wanakera,mpaka unahisi kichefuchefu kutapika.Tuko hapa JF kwa maslahi ya Taifa na sio kwa ajili ya chama fulani,chama chochote kikivurunda kitasemwa tu.Kuna watu wanakuja hapa JF kwamba vyama vyao visiguswe kwa sababu ni vitakatifu,hizi ni fikira potofu na hazikubaliki na JF.

Hivi kweli mtanzania mwenye akili timamu leo hii ndio unaweza kuja na hoja ya uraia wa Jenerali Ulimwengu wakati huyo mtu wa Mungu amekwishapata uraia siku nyingi.Twende na wakati katika kutoa hoja.Kama huna hoja kaa kimya subiri hoja ambazo unanyimbo zake na sio kuleta blabla hapa.Yaaaaaaaaaani ni chukizo kwa wanaharakati.
 
Back
Top Bottom