Habari za saivi wana JF, nimekutana na changamoto apa mwanzo niliattach vote card ya mdhamini ila ikajitoa kwa bahati mbaya kwenye system sasa kila nikiingia nakutana na maelezo ya kuweka tena lakini sehemu ya kukiweka( kuattach) sipaoni NAOMBA MSAADA mwenye uelewa apo na simu hawapokei
View attachment 1882023