Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya mwezi 6 almost unakuja kuuza kwenye mwezi wa 2 next year Kwa sasa mtaji wangu nikama 10M.
Ila changamoto ya hii biashara unatumia nguvu kubwa sana kupata mazao haswa mvua zinapo goma kama mwaka huu kwaiyo unajikuta muda mwingine pesa unazo mfukoni ila changamoto kupata mzigo.kutokana na hizo changamoto mimi nimetageti huku kwenye mazao nitafute mtaji nikafanye biashara ya vifaa vya ujenzi(hardware).
Ila naskia mtaji wake nimkubwa sana.ushauri wenu wadau.Je nianze na huu mtaji wa10M,au nipambane kidogo zifike 20-30M.au ndo mbaka zifike 50M kuendelea na location ya hii biashara inataka mjini zaid au vijijini ?,kwasababu ndoto yangu nikuja kumiliki hardware kubwa sana hapo badae.