Changamkia scholarships hapa.

Changamkia scholarships hapa.

Curious Naturally

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
528
Reaction score
523
Habarini za mda huu wakuu!
Mimi ni mmoja wa wale ambao wanaomba kujua sites ambazo unaeza kupata scholarships/information za scholarship za masters, nje ya nchi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati, kwa mchango wako ambao naamini ni constructive kwangu.
Ubarikiwe.
 
Siku zote, usipende kufanya mambo yako kisanii, maana hutafanikiwa,

kwa style uliyotumia hata kukusaidia watu wataona ugumu, just be open n direct, maana hata ukipewa hizo link utaandika uwongo Tu kwenye fomu zao.

ushauri wangu, badili heading
 
...watu wengi wanaomba misaada mbalimbali bila kuandika heading za kitapeli, em nenda kwenye jukwaa la sheria ndo utajua.
 
Habarini za mda huu wakuu!
Mimi ni mmoja wa wale ambao wanaomba kujua sites ambazo unaeza kupata scholarships/information za scholarship za masters, nje ya nchi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati, kwa mchango wako ambao naamini ni constructive kwangu.
Ubarikiwe.

C. Naturally, pamoja na kwamba topic yako imekosa nidhamu, mimi nimeamua kukusaidia wewe na wanajamii wengine.
Kama ni wewe au ndugu yako, basi nakushauri uingie kwenye hii site ya McGill University na THe MasterCard Foundation for Africa : Home Page | The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill - McGill University

Kinachohitajika kutoka kwako ni:
1. Division 1
2.Uwe unamazoea ya ku-volunteer to promote goodness in your community.

NB: [h=1]About the Program[/h]The MasterCard Foundation Scholars Program provides academically talented yet economically disadvantaged young people with access to a world-class university education. In all, The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill will welcome 91 Scholars from Sub-Saharan Africa, including 24 at the Master's level. Unique to McGill, some Scholars are from French-speaking countries and will receive intensive English language training before starting their degree programs.

Kwa taarifa zaidi angalia hii topic humu ndani:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...versity-mastercard-foundation-for-africa.html
 
fungua African Scholarships | Volunteer in Africa | Jobs in Africa nenda scholarships and grants, hapo chagua category yako utazikuta wamezipanga nyingi mno, kaa sasa pitia moja moja uone conditions zao na deadlines, kumbuka kufungua links za main website kila unapofungua scholarship flani hapo kwenye hiyo site, ni vizuri kusoma kabisa kwenye website wanayo-offer scholarship wenyewe... afu siku nyingine usiweke headings za kijinga, unatafuta scholarships za masters manake ni mtu mzima kabisa acha utapeli
 
C. Naturally, pamoja na kwamba topic yako imekosa nidhamu, mimi nimeamua kukusaidia wewe na wanajamii wengine.
Kama ni wewe au ndugu yako, basi nakushauri uingie kwenye hii site ya McGill University na THe MasterCard Foundation for Africa : Home Page | The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill - McGill University

Kinachohitajika kutoka kwako ni:
1. Division 1
2.Uwe unamazoea ya ku-volunteer to promote goodness in your community.

NB: About the Program

The MasterCard Foundation Scholars Program provides academically talented yet economically disadvantaged young people with access to a world-class university education. In all, The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill will welcome 91 Scholars from Sub-Saharan Africa, including 24 at the Master's level. Unique to McGill, some Scholars are from French-speaking countries and will receive intensive English language training before starting their degree programs.

Kwa taarifa zaidi angalia hii topic humu ndani:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...versity-mastercard-foundation-for-africa.html

Kweli mkuu lakini kumbuka even for Mastercard foundation lazima atimize vigezo vya chuo, now kama ni US which am sure Mastercard are partnering na kama five universities; Duke, Stanford, Michigan State, Arizona State and California Berkeley. Issue inakuja kupata admission in those schools, kwa mfano nina rafiki alipata fellowship covering kila kitu mpaka tuition but still she could not get into some of those top schools. Ninavyoelewa mimi ni kuwa, Mastercard wanaingilia kama tayari hivyo vyuo vimekuadmit already. Lazima you go through the whole application process, TOEFL, GRE, good recommendation letters, killer statement of purpose, na kama ni PhD lazima uwe umepublish to have a chance ya kuingia in those schools. The only exception scholarships nimeona ni kama za USAiD where they select some schools to take students and lazima wakulime J1 visa, the worst visa ever(cant do anything apart from school), hapo ukimaliza muda wao lazima urudi in your country but for F1 lazima upitie all the normal process whether you have money or not.
 
Washukuru wacha Mungu wawatu wamejitolea kukusaidia lasivyo ungedoda hapa na heading zako za uswahilini matola .
Hembu washukuru hawa watoto wa watu waliozaliwa, inaonekana hata kushukuru hujui .
 
Habarini za mda huu wakuu!
Mimi ni mmoja wa wale ambao wanaomba kujua sites ambazo unaeza kupata scholarships/information za scholarship za masters, nje ya nchi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati, kwa mchango wako ambao naamini ni constructive kwangu.
Ubarikiwe.

Unaonekana hauhitaji msaada bali unahitaji kujibiwa upuuzi kama unavyoandika title kana kwamba unataka uuze gazeti. This is a home of great thinkers, andika vitu kama msomi.
 
Mwehu wewe.... huo utapeli wako ndo unaokufanya usifanikiwe.
 
angalia fullbright wanatoa chance nzuri tu tena rahisi zaidi ila ndani ya masomo yko kingereza kiwepo mkubwa.tafuta fullbight scholarship au tembelea ubalozi wa marekani kama upo dar es salaam pana library ya kujisomea kuingia free ukifika waulize kuhusu scholarships.
 
Back
Top Bottom