Changamkia fursa mtanzania

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited ni kampuni ya vijana wa kitanzania na kichina yenye ofisi yake Ghorofa ya 10, Ushirika Tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es salaam, Tanzania. Jipatie mashine mbali mbali zenye uwezo wa hali ya juu, jipatie electronics aina zote, jipatie pia building materials zote na vifaa vya umeme kupitia kampuni yako ya Chinaworldbuz Company! Kujua mengi na kufaidika zaidi kuhusu kampuni hii tafadhali tembelea ofisi zetu au wasiliana nasi kupitia numbari 0653978496 Peter Mwasunga, ‪+255655908497‬ Regina Simon kwa maelezo kuhusu Chinaworldbuz company!
Karibu sana tuwasiliane pia kwa whatsaapp au email address justineluvanda@chinaworldbuz.com , +8613524159707. Nyote mnakaribishwa.
 

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Kwahiyo hiyo ndo fursa? Hebu acheni propaganda bwana, mngekuwa mnatangaza nafasi za ajira au mnatoa elimu ya namna ya kujiajiri ndio ingekuwa fursa lakn pengine na hivyo ni propaganda tu.
 

surubu kwetu

Member
May 13, 2014
59
95
nashukuru ila sio ya vijana wa kitanzania bali ni ya wachina angalia jina lake tu ungesema yenye wafanyakazi wa kitanzania ningekuelewa
 

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Mbali na hayo mfanya biashara anatumia kama milioni 5-8 kwa ajili ya safari yake ya kuja China, hoteli , chakula, kuwalipa maagent wa kumsaidia kununua bidhaa kwasababu ya ugumu wa lugha ya kichina. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 10th floor ushirika tower, barabara ya Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.c om au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya www.chinaworldbuz.com CWB New Attempts, New Possibilities
Peter Mwasunga, 0653978496, Regina Mpunga 0655908497
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom