Nani kakwambia mwanaume anataka vya bure?. Unapokuja kutoa tangazo hakikisha unasema wewe ni dalali sio kujificha kweny kichaka cha kusaidia watu wakati wewe mwenyewe winga tu tena unafanya uwinga mpka kwa walinzi wanaolipwa 150k... WiziMjini chabure hakuna mzee
Mwandiko sasaa..!!!Ujalazmishwa
SIjasema wewe ni tapeli, nimesema kukutofautisha na tapeli ni kazi nzito. By the way, matapeli huwa wanaanziaga mbali kabla ya kumuingiza mtu chaka..!!!Nimecheeka sana mkuu Sasa taperi wakati siombi ela ata kidogo nakupa maelekezo kuandika apa ni mengi sana
Hapana, Asante nilikuwa najaribu kuwasemea wenginePga nkuelekeze