Mshahara 350K, hasa hiyo 100k hujanyoosha maelezo vizuriGee ujaelewa Nini
Ipo" tiari "wewe hautaki rasiiAndika vizuri Mkuu 🤔
Waulize waliopga simu kama awajapata maelezo ya kutosha na pia Mimi sio mwajiri wa kampuni Sina kibali Cha kupost majina ya kampuni za watu ukitaka pga usipitaka kaleleMkuu, no offense ila...
Ulitakiwa uweke taarifa zote za mhimu hapo kwa mfano
1. Sifa za mtu ambaye unahitaji
2. Jina la taasisi au kampuni ambayo inahitaji mtu
3. Siku ya interview
N.k
Hiyo ya kusema ukihitaji nipigie inaonekana Kama haupo serious na unacho kihitaji unless otherwise unapenda kuongea kwa cm na watu.
Sometimes tuonyeshe u serious kufanya maisha yawe rahisi.
UjalazmishwaFursa yoyote ikishapitia katikati ya mtu mwingine mpaka kumpata mwenye uhitaji basi ujue kama sio wizi basi ni udalali unahusika!!. Unataka kusaidia watu direct wape mawasilianobna kampuni au e-mail ya taasisi husika waombe na sio kupitia kwako...
😂 😂 😂 Maisha kutegemeanaNyie kampuni za ulinzi kichwa kimoja mnawachaji maboss zenu 250k mpaka 500k inategemea kama silaha nzito au la !
Then mnaajiri watu mnawalipa 80k-120k ! usafiri, malazi chakula juu yao ! Huu ni unyonyaji sana !
Sio sijalazimishwa.... Acha kudalalia nguvu za watu!!.Ujalazmishwa
Ukiona hivyo huyu Mtu_imara anataka kuwaingiza watu chaka...!! Kumtofautisha na tapeli ni shughuri nzito.Mkuu, no offense ila...