LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,795
- 41,288
Moja kwa moja kwenye uzi. Nimechanganya media, dishi ni la Str Times na king'amuzi ni cha Azam. Chaneli za Star Times zinaonekana kwenye skrini sambamba na chaneli za Azam. Sijalipia za Star Times ila zinafunguka channeli za bure tatu tu za TBC1, Safari channel na ST.Guide. Je nikilipia chaneli za Star Times zitafunguka sambamba na za Azam ndani ya screen moja kama zinavyoonekana? Nataka kuepukana na madishi mengi na tv/ving'amuzi vingi kama media zinasomana ndani ya tv moja