Chaneli ya Simba WhatsApp hakuna updates tangu jana saa 15:07 mchana

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
18,982
55,092
Inaonyesha huko simba hali si shwali kabisa, nasikia admin amekataa kuposti chochote

Tangu jana saa tisa mchana kilipotangazwa kikosi, mpaka sasa hakuna updates zozote, si half time, full time wala matokeo ya jumla.

Kwakweli naona huko klabuni hali si nzuri,afisa habari anapata wakati mgumu kuongea chochote, utaambia nini mashabiki kwa mpira ule.

Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie mashabiki wenzangu wa Simba kwa kukataa kwenda uwanjani siku ya jana, ni hatua nzuri, kama viongozi wana akili watatuelewa.
 
Nasikia admin amegoma kuposti matokeo
Screenshot_20231126-151108_WhatsApp.jpg
 
Hata Samia hajaweka update yoyote kwa channel yake huko whatsapp, yaani tangu alipopata msosi wa pamoja na wale vijana hajapost tena.

Ndugu shabiki unadhani na Samia naye ana ugomvi na admn wa channel yake?
Umeelewa ninachoongea,sema tu unajifanya shabiki lialia
 
Back
Top Bottom