chanel ten wamekuwaje?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Zamani kituo hiki cha tv kilikuwa bora sana,habari ,vipindi nk

siku hizi wamefutika kabisa katika ushindani kwani inaboa kutazama hata live wao wanajiunga na TBC tu,hawajawahi kurusha live hata tukio moja

Zamani walikuwa na habari nzuri za maeneo ya mikoani hasa vijijini sasa hakuna,J ulimwengu naye alikwakimbia

hivi tatizo nini kwani kuna tetesi kubwa Rosti ya Azizi imeshikiliwa kituo hicho.

Hivi humu JF hakuna wafanyakazi wa channel ten tukajua tatizo
 
Mwenye frequeancy na symbol rate yake anipe, siipati kwa dish tangu walipobadili hivyo vitu.

Asante
 
Mwenye frequeancy na symbol rate yake anipe, siipati kwa dish tangu walipobadili hivyo vitu.

Asante

Jaribu hizi
INTELSAT 906,POL 64E,Freq 3905.63mhz,symbol rate 2.84835,FEC 2/4
 
wamefilisika, wadini kwa kutumia makwaiya wa kuhenga, watu hata hawatazami kwasababu hawavutiii, hawapati support ya Mengi.
 
hawa habari zao ni zile za SHEKH WAO YAHYA na kutabiri kwamba watu watakufa.....................ni hayo tu yaani kama tv ya mipasho vile...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom