Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,099
Ktk kipindi cha leo asubuhi cha mahojiano ktk chanel ten, yule jamaa ameongea pointi hata mimi nimeiona kuwa nzuru na viongozi wa UKAWA wangelifanyia kazi.
Yule jamaa amesema UKAWA wanakosea kuwaambia watanzania "KUTOIPIGIA KURA KATIBA PENDEKEZWA" na badala yake wangewashawishi watu "WAIPIGIE KURA YA HAPANA" maana kama hawatapiga kura kabisa.
Je, katiba pendekezwa si ndio itapita bila mjadala kwa wale watakaoipigia kura ya ndio? Amesema wangefanya ushawishi wa kura ya hapana ili kuleta ushindani.
Haya naomba wataalam wa siasa muingie kazini kujadili hilo.