Chanel ten mmetuzuga

kuhanda kawili

Senior Member
Sep 19, 2014
164
33
Leo saa nne usiku mliahidi kurusha kipindi cha tafsiri ya mswada wa sheria vyombo vya habari, badala yake Chanel mmezima hamwoni mnajiharibia
 
Wengine c mashabiki wa Chanel Fulani tu afuata vipindi mahsusi, ahsanten members kufuatilia kipindi hiki nyeti maana mswaada huu unaelekea kutuminya kupashana habari
 
Kwang wamezingua....star times ndo tatizo mshikaj wang alikuwa anaangalia kupitia azam
 
star times waliiondoa hewan mpaka alimomaliza wakairudisha saa tano taarifa ya habari.nahisi kingamuzi ndio wamefanya uhuni wa kitoto.wamekera sana.
 
Kumbe star time vishoka? Asanten sana wana Jf kwa ufuatiaji wenu km kuna jema juu ya kipindi hicho mliofuatilia tujuzeni inaelekea kuzimwa taa yetu ya kupashana hbr
 
Back
Top Bottom