Kwako Waziri Gwajima na Prof Mkenda,Taifa na serikali ndo chanzo cha kuvurugika kwa maadili

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
479
1,253
Mimi nashangaa sana serikali inapambana kuhusu suala la maadili kimaeneo jambo ambalo haliwezi kufanikiwa hata siku moja

Gwajima na Mkenda mnasahau kuwa serikali ni mvurugaji wa maadili ya jamii kama ifuatavyo

1,Vyombo vya habari hasa Television ni njia kuu ya kuharibu maadili ya Taifa,ukiangalia kutwa nzima miziki inayopigwa kwenye Chanel za Television hata kama umekaa na wanao unaanza kugomba mnaweka Chanel gani ambazo zinaweka miziki ya ovyoooooooo,miziki yote inayopigwa huko wanawake wote wapo nusu uchi na kunyonyana ndimi , na maudhui yake sasa na serikali ipo tu inangalia , na watoto ni wazuri sana wa kujifunza kwa kuona kuliko kusikia

2,Matangazo ya nguvu za kiume mchana kabisa huku watoto wamekaa wanaangalia, mnategemea nini, yaani Gwajima anategemea maadili yawe mazuri

3,Mada za mahusiano na mapenzi kwenye Television,yaani kuna Chanel zina vipindi vya mapenzi na mahusiano mchana, wanatangazaji wanajadili mapenzi mchana watoto wanaangalia halafu Gwajima udhibiti ukatili wa kijinsia

4,Movie zinazorushwa kwenye Chanel za Television nazo ni shida,wananyonyana ndimi, mikumbatiano,mara wanaingia chumbani wanataka kusex, wananyonyana na kuanza kuvuana nguo ndo wanacut hapo hata chekechea ataelewa kilichoendelea licha ya kucut

Asilimia 90 ya maadili ya watoto yanavurugwa na Vyombo vya habari hasa Television, ukizima Tv watoto majumbani hamtaelewana na huwezi ukawa mlinzi nyumbani kuangalia watoto wanaangalia chaneli zipi

Nasema mmewaonea walimu
 
Wamejificha kichaka.....kuwashusha walimu vyeo aibuuuuu
 
  • Thanks
Reactions: xox
Naunga mkono hoja ,pamoja na wazazi wazembe wanakaa sebuleni wakiwaangalia watoto wao wakiangalia upuuzi hadi muda mwingine kuwasapoti na kujumuika nao katika hayo.
 
Mimi nashangaa sana serikali inapambana kuhusu suala la maadili kimaeneo jambo ambalo haliwezi kufanikiwa hata siku moja

Gwajima na Mkenda mnasahau kuwa serikali ni mvurugaji wa maadili ya jamii kama ifuatavyo

1,Vyombo vya habari hasa Television ni njia kuu ya kuharibu maadili ya Taifa,ukiangalia kutwa nzima miziki inayopigwa kwenye Chanel za Television hata kama umekaa na wanao unaanza kugomba mnaweka Chanel gani ambazo zinaweka miziki ya ovyoooooooo,miziki yote inayopigwa huko wanawake wote wapo nusu uchi na kunyonyana ndimi , na maudhui yake sasa na serikali ipo tu inangalia , na watoto ni wazuri sana wa kujifunza kwa kuona kuliko kusikia

2,Matangazo ya nguvu za kiume mchana kabisa huku watoto wamekaa wanaangalia, mnategemea nini, yaani Gwajima anategemea maadili yawe mazuri

3,Mada za mahusiano na mapenzi kwenye Television,yaani kuna Chanel zina vipindi vya mapenzi na mahusiano mchana, wanatangazaji wanajadili mapenzi mchana watoto wanaangalia halafu Gwajima udhibiti ukatili wa kijinsia

4,Movie zinazorushwa kwenye Chanel za Television nazo ni shida,wananyonyana ndimi, mikumbatiano,mara wanaingia chumbani wanataka kusex, wananyonyana na kuanza kuvuana nguo ndo wanacut hapo hata chekechea ataelewa kilichoendelea licha ya kucut

Asilimia 90 ya maadili ya watoto yanavurugwa na Vyombo vya habari hasa Television, ukizima Tv watoto majumbani hamtaelewana na huwezi ukawa mlinzi nyumbani kuangalia watoto wanaangalia chaneli zipi

Nasema mmewaonea walimu
Ila si kuna Parental Guidance kwenye hizo Tv, kuna tamthilia zimewekwa umri sahihi wa kuzitizama, kikubwa wazazi wengi wapewe elimu.
 
Wazazi hawawezi kukaa majumbani kugard watoto pia Chanel za nyumbani ambazo hutegemei kama hayo unashtukia umekaa na wanao sebuleni wanapiga mziki unaamua kuondoka sebuleni au Matangazo ya ajabu ajabu yanapita
 
Ujinga wa serikali ya Tz ni kupenda sifa za kipumbavu hata kwa vitu visivyokuwa na mantiki.

Ile video ingepostiwa BBC na kusifiwa kuwa watoto wa shule wa TZ wana enjoy elimu, hakika Mkenda na wenzie wangetoka na sura kavu kusema wao ndio waliwaambia walimu waweke ile nyimbo watoto wacheze.

Mkenda alikurupuka kusema walimu waliohusika washushwe vyeo, Gwajima nae akadandia treni kwa mbele ili na yeye apate sifa vile vile.

Jinsi hili swala lilivyochukuliwa ni kama vile hiyo nyimbo ya Honey imetoka jana. Hiyo nyimbo inapigwa mpaka kwenye majukwaa yao na yenyewe na mashati na magauni yao ya vitenge wanakata mauno. Ghafla mtu kakosa hoja ya msingi na pengine mchepuko wake kachukizwa na walimu walivyokuwa wanaserebuka basi anakuja na matamko tu.

Tukiuliza hapa kuna athari gani ya kitaaluma imepatikana baada ya wale watoto kucheza au utendaji wa wale wakuu wa shule umeathirika vipi kwa kucheza Honey hutopewa jibu la maana.

Mtaala wa elimu ni mbovu, kina Mkenda na Gwajima wasitafute visingizio kwa kuwajibisha wasiohusika..
 
Naunga mkono hoja
 
  • Thanks
Reactions: xox

Similar Discussions

Back
Top Bottom