Athumani George
Member
- Jul 9, 2017
- 27
- 3
Busara ni kitu ya bure... Bora ungepita kimya kimya kuliko kuonye utupu wako mbele za wakwe wako...Muda mchafu hatuna!
Acha jazbaBusara ni kitu ya bure... Bora ungepita kimya kimya kuliko kuonye utupu wako mbele za wakwe wako...
Unalazimisha tuangalie upuuzi?! Once again hatuna muda mchafu Next.....Busara ni kitu ya bure... Bora ungepita kimya kimya kuliko kuonye utupu wako mbele za wakwe wako...
Hakuna sehemu umelazimishwa uangalie hyo channel....Unalazimisha tuangalie upuuzi?! Once again hatuna muda mchafu Next.....
Mbona hivi?Hakuna sehemu umelazimishwa uangalie hyo channel....
Katie mbaliMuda mchafu hatuna!
Apane Guda... OkMbona hivi?
JF we dare to...... malizia mwenyewe
Nimesoma tangazo nimechangia maoni yangu shida iko wapi?
Tutukuzeee tuuuu upuuzi ' Give me a break khaaa!