Chandimu

Chandimu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
600984_266113793535420_692866753_n.jpg
 
mkuu nikikumbuka hiyo kitu machozi yananilenga. Nikikumbuka gombania goli, one touch, magoli madogo, kona maisha yalikuwa matamu mno, mnatoroka darasani mbio uwanjani kucheza mpira. Nilikuwa sikosi chandimu kwenye mkoba wangu wa shule.
 
dah bila kusahau danadana we acha tu nilikuwa nakuhesabia miatano
 
Shule ya msingi tulikua tunaita 'makara'
Enzi hizo Naura primary!!
 
Back
Top Bottom