CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Wehu kweli stars. Malinzi should go, na sio Noorj.
 
Fungu la kukosa.....

Tutaongezwa la pili muda si mrefu...
 
Kwa kweli tunasikitisha.

Dakika ya 42 Tanzania 0 - 1 uganda
 
Au swaumu hawa wachezaji? Mbona legelege sana??
 
Kichwa cha Mwendawazimu kinanyolewa mpkaka kipate akili mwaka huu
 
Afadhari now naweza toka home na kwenda kwenye vbanda umiza
 
Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa.
 
Tumtafute mzee Mwinyi afute ilekauli ya kichwa cha mwendawazim.

Afute kabla hajamfuata Nyerere. TUKICHELEWA AKAENDA BILAKUIFUTA NDO BASI TENA.
 
Hakuna kiungo mchezeshaji, nooj kajaza viungo wakabaji utadhani tunatafuta draw
 
Mimi stars nawajua, karibia mtaanza kutukana matusi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…