Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

Bayern kama wanataka ku-compete kwene hii fainali inabidi wamove the ball quicker in the midfield na waongeze penetration la sivo msiba mwingine kwa Ngosha unanukia. Wakiendelea na wanavocheza sasa watapigwa jengine maana naona defence yao ni kituko.
 
Ngosha inaanza kula kwako tarrtiib

Bwana wee...ila kale kandoto nilikokuambia ka 2-1 niliota kwamba Milito kafunga goli la Inter..........Bayern wamecheza vizuri dakika 30 za mwanzo,tatizo ni ufyongo katika umaliziaji.......Inter wanafanya mashambulizi ya kushtukiza........Eto'o kafinywa sana 1st half hii..................Ngoja tusubiri kipindi cha pili.....Game ni nzuri sana leo.....Inter wawe waangalifu,hawa Bayern hawatabiriki hata kidogo.....hasa pale mbele Robben,Olic,Altintop
 
Bayern kama wanataka ku-compete kwene hii fainali inabidi wamove the ball quicker in the midfield na waongeze penetration la sivo msiba mwingine kwa Ngosha unanukia. Wakiendelea na wanavocheza sasa watapigwa jengine maana naona defence yao ni kituko.

Kasi ya Olic na Arjen nadhani wazijua........Pia kuna Altintop pale.........Akina Lucio na Samuel inabidi wawe waangalifu sana na hawa jamaa...........nyways....ngoja tusubiri kipindi cha pili tuone..............Btw......Mpemba,ile ilikuwa ni ndoto tu bana..............Si kwamba mimi ni Bayern damu.........hahaaaaaaaaaaaa
 
Bwana wee...ila kale kandoto nilikokuambia ka 2-1 niliota kwamba Milito kafunga goli la Inter..........Bayern wamecheza vizuri dakika 30 za mwanzo,tatizo ni ufyongo katika umaliziaji.......Inter wanafanya mashambulizi ya kushtukiza........Eto'o kafinywa sana 1st half hii..................Ngoja tusubiri kipindi cha pili.....Game ni nzuri sana leo.....Inter wawe waangalifu,hawa Bayern hawatabiriki hata kidogo.....hasa pale mbele Robben,Olic,Altintop
Duh, umekuwa sheikh Juma siku hizi? Bayern wanaonesha hawajajiandaa na challenge ya Inter kinyume na nilivofikiri. Jiandae na Inter kupack bus zaidi sasa.
 
Kasi ya Olic na Arjen nadhani wazijua........Pia kuna Altintop pale.........Akina Lucio na Samuel inabidi wawe waangalifu sana na hawa jamaa...........nyways....ngoja tusubiri kipindi cha pili tuone..............Btw......Mpemba,ile ilikuwa ni ndoto tu bana..............Si kwamba mimi ni Bayern damu.........hahaaaaaaaaaaaa

Bayern has a lot of good paced players... tatizo ni negative attitude
 
mpira uko 50/50 ila INTER wakiwa na mpira wako dangerous kidogo kuliko BAYERN ambao wanatumia muda mwingi ku-pass the ball mbele ya box la inter

Yaani Inter wana counter-attack siyo eeh!!..halafu watashinda hao vijana naona!!Bad luck for Bayern..
 
mourinho needs to do something otherwise the inevitable will happen....
 
Pamoja na Inter kuwa Mbele lakini naona wako kwenye hali mbaya sana natabiri hawatoki leo kwa Bayern
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom