Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

Discussion in 'Sports' started by Masanilo, May 17, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [FONT=&quot]
  Wapenda soccer wote tunasubiria final hapo Madrid. Mechi hii huenda ikachezeshwa na refarii wa kiingereza Mr Howard Webb.
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Nampenda Mourhino ila sifurahii mafanikio yake :)[/FONT]

  [FONT=&quot]My prediction goes for Bayen especially with the tricks of Robben on the wing and the prolific finishing of their striker Olic. Ila Inter Milan wana defense nzuri sana wakitangulia basi mechi itakwisha 1-0. Ila Bayen wakitangulia basi mechi itakwisha 2-1[/FONT]

  [FONT=&quot]Timu zote hizi zimekuwa na mafanikio kwenye nchi zao zote nimewin double kama Chelsea in England....nani kati yao atachukua kikombe cha tatu?[/FONT]

  [FONT=&quot]Wakuu wengine tujadiliane[/FONT]
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  i hope howard webb hato haribu mpira.mie nataka sana bayern washinde manake inter milan wakishinda mdomo mchafu wa mourhino tutakoma.


  zaidi ya hapo nategemea mechi itakuwa nzuri sana na tuta enjoy wakati huu ambao tunasubiri world cup kwa hamu sana.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi babu yenu huku vikindu hakuna TV wala umeme hebu niambieni mechi hii lini nijisogeze kwa mpwa wangu pale Mbagala zakiemu
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Na wewe mkuu hamia mjini ! Mechi ni Jumamosi Ijayo mkuu
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa mjini huko siwezi mia foleni za daladala mi ntaziweza wapi?huku burudani usafiri wa baiskeli swafi..salama lakini kaka
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nipo gado kiongozi! unadumisha mila sio huko village! Hata mjini mkuu waweza kupiga teke tu.....
   
 7. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Zanetti, Cambiasso, Milito na Eto kweli Bayern watapona hapo. Siwapendi Bayern
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Usimeze wembe siku ya siku kiongozi!
   
 9. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Go inter............mimi Inter bana, tutashinda tu.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bayern's record in European Cup finals is four wins and three defeats:
  1974: 4-0 v Club Atl├ętico de Madrid, Brussels
  (replay after 1-1 draw)
  1975: 2-0 v Leeds United AFC, Paris
  1976: 1-0 v AS Saint-Etienne, Glasgow
  1982: 0-1 v Aston Villa FC, Rotterdam
  1987: 1-2 v FC Porto, Vienna
  1999: 1-2 v Manchester United FC, Barcelona
  2001: 1-1 v Valencia CF, 5-4 on penalties, Milan

  Inter's record in European Cup finals is two wins and two defeats
  1964: 3-1 v Real Madrid CF, Vienna
  1965: 1-0 v SL Benfica, Milan
  1967: 1-2 v Celtic FC, Lisbon
  1972: 0-2 v AFC Ajax, Rotterdam
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Van Gaal and Mourinho have both won the European Cup before – Van Gaal with Ajax in 1995 and Mourinho in 2004 with FC Porto. Whoever prevails will become the third coach to have lifted the famous trophy with two different clubs, following Ernst Happel and Ottmar Hitzfeld.

  [​IMG]

  These guys
  battle for historic treble in Champions League final. Kama mnakubuka baada ya Bobby Robson Kuondoka Barcelona, Jose Mourinho alibakia chini ya Louis van Gaal. Mourinho aliisha sema Robson alimfundisha namna ya kuhamasisha wachezaji na Van Gaal alimfundisha namna ya kuandaa timu kisaikolojia na kupanga defense, je ataweza mfunga mwalimu wake? Jibu ni hapo May 22

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah kihistoria hapo juu yaonekana Bayern wapo juu,inter wanarecord dhaifu kwenye CL...Ila this time karata yangu naweka kwa waweka ukuta!! Hope Inter watashinda on 90mins...Tumwache Jose aseme tu maana Kila chanda chema huvikwa pete..let the special one be the Only one
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Toa basi sababu mkuu! Usiwe kama wale wazee wa Dar es Salaam, kuna mmoja aliulizwa ulikuwa unashangilia nini kwenye hotuba...yule mzee akasema tualiambiwa tuwe tunashangilia raisi akiongea ebooo....!
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa mkuu watakusikia wenyewe iwe tabu..nakumbuka JK alisema kuongeza mshahara haiwezekanii..duhh suprosingly akina mama wakalipuka kwa vigelegele mpaka mi nikashangaaa hawa wanashangilia nini
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha wale waliambiwa kazi yenu ni kushangilia tu! na kweli walishangalia shida walipoulizwa kipi kilichowafurahisha...? wengine hawana majibu wengine ndo hivyo ilikuwa kazi yetu ile!
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani katika maisha yangu hakuna kipindi napata kichekesho kama nikisikia JK anataka kuhutubia....wakati wa WEF ndo nilichoka kabisa...yaani prezida understanding ya vitu iko theoretical mnooooooo....yaani anazidiwa hata na muhuni Tshivangarai .....Zenawi anaongea vitu vimekwenda shule haswa...aaaah Salim nakuliliaaa prezidenti wangu yaani wewe ndo ulistahili basi tu
   
 17. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimecheka sana maana kigogo nae alishangaa kwa nini wazee wanacheka wakati wameambiwa mshahara haupandi........
  Mkuu philosophy ya manager wetu wa Inter ndio inayonipa kiburi.,...kitakachofanyika ni kwamba Inter itatumia "Score early(SE).....comeback to defend(CD)" Hadi Eto atakuwa defender siku hiyo mara tu ya kushinda. Thereis no way out, philosophy ya SE>>>>CD itatumika kupata ushindi
   
 18. senator

  senator JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mkuu wa kaya anaweza u comedian..yaani naona hata waandishi wa habari wengine walikuwa wanamuonea huruma kumpiga maswali baada yakuona anapotezea mengine kwa kujibu very shallow....
  B.Mkubwa umenena haswa tactics za Jose hapo na ndo ata apply hiyo ili aweze kuweka historia kwa club ya Inter!
   
 19. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2010
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kiongozi acha utani we tunakula bata wote hapa mjini na leo unasema upo Vidunda! Karata yangu wadau nwamwaga kwa Inter hasa ukizingatia bayen kama vile wapo pungufu tayari kutocheza kwa Ribery ni penngo kwao.Game itakuwa nzuri hasa nikiangalia viwango wa hizi timu kwasasa hakuna wa kumbeza au kumtambia sana mwenzake they are at the same level.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  itakuwa gemu ya hovyo haswa kwa sababu ya Inter watapaki bus na kusubiria nafasi mbili tatu za kona, free kick au counter attack. Napenda Inter ichukue thanks to African contingent Eto'o, Mariga, Muntari, Baloteli na Maicon.

  Forza Nezzazuri.
   
Loading...