Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

ili aweze kuishi madrid lazima
awauze kina kaka nk

asiingiliwe kwenye maamuz na prezidaa wa madrido, wakimuingilia tu, morinyo anasepa
 
Dogo kuwa na heshma sijafungwa mimi wala Bellies, walifungwa Bayen kwa uzembe wao....ilijulikana kabisa jamaa watacheza counter attack van Gaal paid the cost....
Bayern beki mbovu,kocha naye hana plan B.Huwezi kucheza na special one afu ucheze the same ulivyocheza na timu nyingine.The King of comeback amechemsha jana alifikiri Inter ni Man U lol!
 
Mourhino anasajili walizi tu Pale Madrido, huenda na viuongo wachezeshaji Gerrald is more likely

Mourinho to quit for £40m Real Madrid deal | European Football - Times Online
Ata survive? Asije akajiharibia record yake aliyoiweka ya kuchukua CL mara mbili akiwa na team mbili tofauti.Madrid hawataki only vikombe also sex football. Ndio maana mzee mzima venga anakuwa na wakati mgumu sana kufanya decision linapokuja swala la kuhamia Madrid. Everything watampatia je ana utaalam wa kuwafundisha vijana sex football warudi kama enzi zile?.Madrid pale hatutaki mambo ya counter attack & kupaki bus
 
Mazee

If you want to be a winner, hire a winner. If you want to be a loser....there is always Wenger........ am sure he will be loved
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom