CHAMPION BUS sasa linafika mpakani TARAKEA toka DODOMA

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,285
Kwa wale wasafiri na wakazi wa Mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro sasa wanaweza kusafiri kwa Mabasi ya Champion ya mjini Dodoma hadi Tarakea mpakani kabisa wilayani Rombo kwa bei ya 33,000/= na linapitia Himo, Marangu mtoni, Mwika, Mkuu, Shauri-tanga hadi Tarakea kwa njia ya Singida Babati Arusha. (Moshi mjini ni 28,000/=) baada ya hapo ndio 33,000/=
Nawapa pongezi sana hawa kina (Mkulu) Mapesa hasa Jumanne (Kitumbo) na mwenzake Salum na wafanyakazi wote wa Champion kuturahisishia usafiri
 
Safi sana wasafiri wa huko wamepata unafuu..je ni kila siku au mara tatu kwa wiki
 
asante TINGO

Ukwaju Champion tatizo lao hawatak kubadilika,ni moja ya Kampuni Kongwe sana kwa Dodoma,nakumbuka miaka ya Nyuma (1990s) mabasi yale yalikua na majina ya wachezaj maarufu wa Nigeria akina Rashid Yekini,Babayaro,hadi leo Champion ana mabasi makuukuu,hata ulimwengu huu wa Yutong jamaa hawatak kununua,kwa biashara ya kileo kwakweli inavutia ukipanda basi ambalo lina hali ya comfortability and Luxury,pia kuna huyu mzee anayemiliki SHUKRAN BUS,nae habadiliki mzee Issa Ndwata miaka dahari mabasi makuukuuu,jaman Kimbinyiko ameanza na vigari vya ajabu kwenda mkoka leo hii nayaona mabasi yake UBUNGO yanatokea Dodoma,ABC yule mchaga leo hii nae ameshine,hawa warangi wana nini???????
 
Last edited by a moderator:

Mkuu haya magari ya Dodoma - Moshi Tarakea kupitia Singida ni ya Jumanne (Kitumbo) na Bodi lake wanatengenezea Kenya ni mashine nkubwa hasa Mchina wa YUTONG haingii kabisa wa kufukuza.
Kama angenunua YUTONG na kuzituma Tarakea zingechemsha mwezi mmoja tu, maana Mchina mara Diff, mara gearbox
Kuhusu Mzee Ndwata ni kweli kabisa, huyu Babu yangu kachemsha, watoto 36, na wengi wameacha kufanya kazi katika Mabasi yake sijui wanaona wanabanwa au wanamchapa sana dalili za kugota mwisho zinamfikia.
Najua Champion kafungua Njia lakini wapo watakaofuata na hasa ikifunguliwa njia ya Kondoa Babati.
asante TINGO
Ndugu yangu bila kupashana habari hizi mapema, tutakuwa tunazunguka sana kupitia Chalinze na huko kwenu kwenye milima ya mabahili mnaotumia picha ya samaki. Hebu jiulize kwanini abiria wote wanashukia himo na kupanda Milimani hadi Rombo, na kule kwenu hawashuki. Ukiwa Tingo unaona zaidi na kuwasaidia wasiojua au kuwa na habari
 
Ukwaju Champion tatizo lao hawatak kubadilika,ni moja ya Kampuni Kongwe sana kwa Dodoma,nakumbuka miaka ya Nyuma (1990s) mabasi yale yalikua na majina ya wachezaj maarufu wa Nigeria akina Rashid Yekini,Babayaro,hadi leo Champion ana mabasi makuukuu,hata ulimwengu huu wa Yutong jamaa hawatak kununua,kwa biashara ya kileo kwakweli inavutia ukipanda basi ambalo lina hali ya comfortability and Luxury,pia kuna huyu mzee anayemiliki SHUKRAN BUS,nae habadiliki mzee Issa Ndwata miaka dahari mabasi makuukuuu,jaman Kimbinyiko ameanza na vigari vya ajabu kwenda mkoka leo hii nayaona mabasi yake UBUNGO yanatokea Dodoma,ABC yule mchaga leo hii nae ameshine,hawa warangi wana nini???????

Yaani hilo basi la Shukran ni sawa na Chakito the long way. Yanikimbia hovyo bila tahadhari dah....
 
Last edited by a moderator:
Ukwaju nimependa maelezo yako hapo juu...huenda pia changamoto za hiyo njia zikazuia kutumia ma you tong, lakini with time abiria wanataka zaidi vitu luxurious hasa kama vinapatikana kwa watoa huduma wengine.

Hayo mascania ya Kitumbo basi yaboreshwe yawe comfortable kinamna manake safari ndefu hiyo au sio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom