Chambo wa W. Madini kapigwa chini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
 
Last edited:
Huyu ni mtu Chambo wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!

Mkuu hata eng. paul masanja ambaye alikuwa naibu wake naye katiwa nyavuni ka samaki akatupwa mchangani, magu noma hata msukuma mwenzie kampaga chini
 
  1. Ningemuelewa sana kama angepitia mikataba yoote ya madini upya...hakuna sehemu nchi hii inaliwa kama sekta ya madini na maliasili.
 
Kweli Magu anafanya Kweli, baada ya mwaka tunaweza kuanza kuona nchi ya ahadi kwa mbali
 
Mbona wengi tu wamegongwa kisigino. Joyce Mapunjo, dk. Donald Mbando wa Afya, yule wa Tamisemi, n.k. Manaibu ndo kibao.
 
Naunga mkono huu uteuzi. ni wakitaaluma zaidi. ila hawa watu wa escrow,hata kama hawana hatia, ni vizuri akaachana nao. wanamazonge.
 
MAGUFURI AWAMU HII KAWEKA VIWANGO VIKUBWA VYWA WATENDAJI..AMBAYO NI pHD NA PROF.KWA ENGINEERS LAZIMA UWE NA MSC NA UMEFANYA MIRADI MIKUBWA.ANGALIA NISHATI NA MADINI,YAANI MINIMUM NI PHD HIVYO AKINA CHAMBO NA UFISADI WAO WASINGEFAA.WAKALIME AU WAENDE WAWE MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
 
Hiv katibu mkuu asipochaguliwa na umri wa kustaafu bado anaenda wapi? mfano kesho ni cku ya kazi inakuwaje kuwaje pale?

Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
 
Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
 
Omari Chambo ni bonge la fisadi!
 
Hahahahaaaaa.....!! Hebu pumua kwanza jamaa yangu.
 
Kutesa kwa zamu.mlicheka watu wakilia.
 
hii inaitwa mwenzako akinyolewa zako tia maji....na bado wajiandae wote waliozoea vyeo vya mteremko...!
 
Mkuu mbona mleta thread ameongea vizuri tu tofauti na ulivyomjibu kwa jazba. Nini kimekusibu?
Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
 
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
Kampiga chambo chini
Kamchukua nuru mtoto wa jk kampa wizara naibu katibu mkuu
CCM ni ile ile bros hakuna jipya.
 
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
ahaaaaa...nimeipenda sana hii.
 
Mkuu hata eng. paul masanja ambaye alikuwa naibu wake naye katiwa nyavuni ka samaki akatupwa mchangani, magu noma hata msukuma mwenzie kampaga chini
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!

Vipi kuhusu maslahi yake , maana katumikia nafasi chini ya miezi 3 tu.
Je atalipwa kama kawa maslahi yake kulingna na nafasi aliyokuwa akiitumikia...?
 
Mkuu mbona mleta thread ameongea vizuri tu tofauti na ulivyomjibu kwa jazba. Nini kimekusibu?
Atakua km sio chambo mwenyewe...au mtoto wake au binamu yake au bi mdogo hahaha cheo dhamana ..wache wengine wachukue
 
Back
Top Bottom