Kweli Magu anafanya Kweli, baada ya mwaka tunaweza kuanza kuona nchi ya ahadi kwa mbali
Maswi ni Kaimu Naibu kamishna.. anashikilia hiyo nafasi wakati naibu kamishna anatafutwaUteuzi wa Maswi umefuta matumaini
Atakua km sio chambo mwenyewe...au mtoto wake au binamu yake au bi mdogo hahaha cheo dhamana ..wache wengine wachukue
Maswi ni Kaimu Naibu kamishna.. anashikilia hiyo nafasi wakati naibu kamishna anatafutwa