Chama Triple C awataka Yanga kuacha uzushi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,711
Mwanzo tuliona kama jambo la kupuuza kwa sababu lilizungumzwa na mashabiki. Ila kwa sababu mpaka viongozi wa Yanga wamejiingiza kwenye uzushi inabidi kuwajibu. Kuwajibu ili kuwaepusha kwenye migogoro na mashabiki wao mapema.

Ushauri wa bure ni Yanga kubadilika na kufanya mambo kisomi kama ilivyo Simba SC. Mashabiki wanakuwa oya oya na viongozi wanakuwa oya oya.





 
Mwenyewe anasema mpaka mkataba wake na Simba ukiisha ndio ataongelea hayo mambo.

Mkataba wake na Simba utaisha tarehe 21.06.2020!

Chama 1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kasema mkataba wake ukiisha na Simba ila hajasema mkataba wake na Simba unaisha lini? Hapa ndo shida ilipo naona still ajafunga mjadala Bali atazidi kuchochea tetesi zake za usajili na Yanga.
 
Yanga hawajijui Dilunga kawaambia heri arudi mtibwa kuliko yanga wachezaji hawajalipwa mishahara wa Machi viongozi wanasingizia wanasubiri ripoti ya kocha vitu ambavyo havihusiani.
 
Ajibu alikuwa nyota yanga kaja Simba benchi, nyonzima tulimwacha Sasa hivi ndiyo nyota kwenu Kama Dilunga anamweka Ajibu benchi ndiyo akose namba yanga
Niyonzima zengwe kwanza anawadai mpaka leo..taja Dilunga atamuweka nani benchi. Mchezaji wa mechi ndogo.
 
Back
Top Bottom