Nataka nifanye maamuzi magumu
Marriage is how you make it
Me nataka nione mwenyewe kaka hizo stress zinafanana naje?
Mkuu mshana jr i know na niko humo ndani na maisha yanasonga bila wasi wasi aise na nazidi kumuomba Mungu ajalie kila jema yaendelee hivi hivi
Hakuna rajha kama unampata the right person to be your wife aise
Mkuu usidanganywe hakuna raha kama kuwa na mwenzako na Mungu akakupa mtu ambaye mnaelewana na mnaweza kushare maisha pamoja na kushauriana
hakuna cha stress wala nini na ndoa ni wewe utakayeifanya iwe njema au mbaya pia

2020 utajaoa watoto wetu aise MO11 maana hapo ni miaka sita ijayo aise
Haaaaaaaaaa miaka sita ijayo? Hapana fanya iwe mapema zaidi tafadhali kabla hawajaharibika zaidi
Usichelewe sana kuna faida nyingi kuliko hasara
kwani wasiwasi wako nini kama una binti wa miaka 12+ niandalie jitahidi kumchunga chunga
sasa hivi nahangaika na magubegube yaliyoshindikana
Hapana nitaoa mpya kabisa namtunza kuanzia sasa hivi kama atatokea