Chama Kipya Tanzania Kianzishwe Cha Libertarianism

Kessy Wa Kilimanjaro

JF-Expert Member
Jan 23, 2016
327
208
Tanzania inahitaji fikra ya Libertarianism.

Kwenye Kiswahili hamna neon linalo tafsiri kuwa Libertarianism. Kwa ambao hamuelewi, Libertarianism ni philosophia inayo sisitiza umuhimu wa uhuru. Mtu ambaye ni Libertarian, jitihada zake ziko kwenye kuongeza uhuru wa wananchi kuchagua jinsi wanavyotaka kuishi, kuwapa wananchi uhuru wa kufanya siasa jinsi wanavyotaka, kuhakikisha kuna uhuru wa kuweza kuchagua kama unataka kujihusisha na watu au biashara au serikali, na ubinafsishaji.

Libertarianism (Latin: liber, "free") is a political philosophy that upholds liberty as its principal objective. Libertarians seek to maximize autonomy and freedom of choice, emphasizing political freedom, voluntary association, and the primacy of individual judgment.

Ukiangalia nchi zote duniani, au ukiangalia hata Africa, nchi iliyo endelea kuliko zote kwa mfano Botswana ina wapa wananchi uhuru mkubwa sana na serikali yake ni ndogo. Inalinda haki za kumiliki mali kwa wananchi wenyeji na haki za kumiliki mali kwa wawekezaji wa nje ya nchi. Ina kusanya kodi ndogo na HAPANA sheria za kunyanyasa wafanya biashara. Kuna uhuru wa kufanya biashara na uhuru wa kuwekeza.

Ukiangalia Tanzania, wawekezaji wa nje hawana haki za kumiliki mali ambayo wao wenyewe wameilipia. HAPANA uhuru wa kuwekeza au kuanzisha biashara. TUNA WIZARA 22. Hii ni hali mbaya kwasababu wizara hizi zote zinatumia hela ya wananchi na zinavyokuwa zina sababisha KODI kuongezeka. Alafa hizi wizara zote zinakusanya kodi zao zenyewe kwenye sekta ya biashara. Umaskini Tanzania unatisha lakini bado serikali inataka kuongeza kodi.

Kama tusipo fwata fikra ya Libertarianism hatuta fika kwenye maendeleo.
 
Tanzania hatuhitaji chama kipya ila falsafa angavu na elekezi.
Kamwe dunia haiwezi badilishwa na chama cha siasa: Watu binafsi ndiyo wanaoamua mabadiliko.
 
Back
Top Bottom