Chama Kimoja: Mkutano wa Vyama vya Siasa ulifunguliwa na Rais Samia ukafungwa na Rais Mwinyi na watoa mada Majaliwa, Pinda na Mhagama!

Kiukweli CCM ni kama mbuyu tu na matawi yake ndio hayo ya Chadema, ACT wazalendo, Nccr mageuzi, TLP, Cuf, UDP, ADC, Chaumma, DP nk....nk.

Fikiria mkutano wa juzi wa vyama vya siasa key speakers wote walikuwa ni vigogo wa CCM huku Mbatia, Cheyo, Lipumba na Zitto Kabwe wakiwa washangiliaji na wapiga makofi.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Toa Chadema kwenye hilo Genge
 
Back
Top Bottom