Chama kimepoa sana

Chama kimepoa sana

Pamoja na yote kusema kweli Shaka amepoa sana tena sana... yani kweli hana la kuongea au kusema kuhusu chama na Rais wake? aiseee labda ngoja tumpe muda... mbona wenzie wakina Heche,Msigwa wanasema? awezi hata kusema serikali imerekebisha hiki na hiki na itafanya na kuboresha hiki na hiki..... aisee
 
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.

Sahivi utadhani chama hakina watu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]. Kadi yangu siilipii tena.
Kilichobaki ni malumbano, kuchambana na kugombana huko kwenye ma group ya chama
 
Pamoja na yote kusema kweli Shaka amepoa sana tena sana... yani kweli hana la kuongea au kusema kuhusu chama na Rais wake? aiseee labda ngoja tumpe muda... mbona wenzie wakina Heche,Msigwa wanasema? awezi hata kusema serikali imerekebisha hiki na hiki na itafanya na kuboresha hiki na hiki..... aisee
Yule ni mla rushwa hawezi kuongea
 
Tatizo kubwa ni kwamba,Magufuli aliwakabidhi polisi wainadi na wailinde ccm.Sasa hivi polisi wameikabidhi ccm kwa mwenyekiti mpya mpenda haki.Shaka akisema neno lazima ajibiwe na wenye akili CHADEMA bila polisi kuingilia kati
 
😂 Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.

Sahivi utadhani chama hakina watu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]. Kadi yangu siilipii tena.

chama cha wakina nyumbu 😂
 
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.

Sahivi utadhani chama hakina watu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]. Kadi yangu siilipii tena.
siasa za kishamba hizo, kutengeneza taharuki isio na tija.
 
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.

Sahivi utadhani chama hakina watu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]. Kadi yangu siilipii tena.
Sasa hivi ni kazi tu , porojo na propaganda zimeondoka na mwendazake.
 
Back
Top Bottom