Katasheka jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 528
- 359
Labda wamjaribu Dr Shika!Tanzania tuna vyama vyama siasa vya upinzani takribani 30.
Lakini hadi sasa bado hatujapata chama mbadala ambacho kitambana na CCM na hivi vingine vimuunge mkono chama kimoja.
Ikumbukwe ya kwamba mwaka 1995 NCCR ilitingisha kupitia Mrema walipambana wakashidwa.
2000 na 2005 CUF kupitia Lipumba walipambana lakini wakashidwa
2010 na 2015 CHADEMA kupitia Lowassa walipambana mara mbili wakashidwa.
2020 inakaribia hadi sasa sijui mawazo ya upinzani wamejipanga vipi kushinda.
Lakini pia kama vyama vyote vimeshidwa ni chama gani mbadala wa CCM ikizingatiwa vyama vyote vimeshindwa.
Acha kulazimisha MTU hadi kumtukana, ili afikirie kama wewe, kamwe.Samahani mkuu ,nakushauri pakuwa mavi kwenye kichwa chako then ndiyo uongee. Sema hivi tuweke tume huru na tutenge polisi na ccm ndiyo uje ongee upoyoyo wako.
20% ya watanzania ni mbumbumbu hawajuhi kusoma wala kuandika(milioni 12).. ndio mtaji wa CCM...UKAWA watapata tabu sana kueleweka ...Chadema mhimili wake ni wafanyabiashara wa kichaga wakati CUF muhimili wake ni wafanyabiashara wa kipemba,Muungano wa UKAWA ulikuwa muungano wa wafanyabiashara wa kipemba na kichaga kutaka kuchukua dola.Baada ya mafanikio yao kwenye biashara waliona hiyo haitoshi wachukue na dola kabisa wakitaka hata kuuza nchi wauze!!!!.Maskini wanyonge ambao ndio wengi wakawakataa wakawapiga chini .As long as Chadema na CUF vinabaki kuwa vyama vya mabwanyenye na matajiri wafanyabiashara wa kichaga na kipemba wasau kushika dola
100% truthNoise,..
Kama mnaamini upinzani haukubaliki kwa wananchi, embu acheni uchaguzi uwe huru tuone kama mtashinda.
Sisiemu wanashinda kwa udanganyifu mwingi, siyo kwa kuchaguliwa na wananchi
Afu ndo wapiga kura mana wasomi hawapigi kura kwa wingi20% ya watanzania ni mbumbumbu hawajuhi kusoma wala kuandika(milioni 12).. ndio mtaji wa CCM...UKAWA watapata tabu sana kueleweka ...
Kusema ukweli kura ni ushahidi tuuu matokeo tayari watu wanayo mkononiAfu ndo wapiga kura mana wasomi hawapigi kura kwa wingi
Nchi haifanyiwi majaribio hata kidogo.nchi waachiwe Chadema ambayo ukiwaangalia wote huoni viongozi imara na taasisi imara ya kuimili dolaNoise,..
Kama mnaamini upinzani haukubaliki kwa wananchi, embu acheni uchaguzi uwe huru tuone kama mtashinda.
Sisiemu wanashinda kwa udanganyifu mwingi, siyo kwa kuchaguliwa na wananchi
Pole sana sister go back to schoolNchi haifanyiwi majaribio hata kidogo.nchi waachiwe Chadema ambayo ukiwaangalia wote huoni viongozi imara na taasisi imara ya kuimili dola