Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ndugu
wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga
na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa
dhati. Wadau nijiunge na chama gani? By elly. Mategemeo yangu ni kwamba Mtakaza michango yenu kwa kuniambia SERA za hivyo vyama mnavyofikiri ni makini,sio mm tu wapo wengi watashawishika na kujiunga na vyama makini. Sio wote wenye vyama vya siasa.
BY ELINEEMA MOSI
MAJIBU SAHIHI YA CHAMA GANI WADAU BADO SIJAYAPATA,MBONA MNACHOKA KUNIELEZA SERA ZA CHAMA CHENU?