Chama Chetu Chajenga Nchi

MADEREVA WALIKULA VICHWA PALE KIZOTA DODOMA KAMA KAWA.
mi nilifikiri wanajinadi kupunguza gharama kumbe walizidisha mara 3 kwani kwa kupanda treni walijilipa nighty 4 kabla ya kufika kigoma.

I ghope night allowances zilitoka kwenye mfuko wa cham na si serikalini...
 
Hilo suala la gharama usijidanganye! Kila mwanasiasa anajidai kuwa kuna haki amepewa na hata huko upinzani tumeshawashuhudia wenyewe kwa wenyewe wakigombania hizo zinazoitwa haki zao!
Hao viongozi hawatoki hewani ni sisi wenyewe tunaowachaguwa na kigezo kimoja tunachojali ni uwezo wa mgombea . Ulishawahi kumuona mjasiria mali akawa mbunge? Sasa iwapo tunawachagua kwa muonekano wao,kipesa, kielimu, kipersonality na ujuzi wa kuchezea maneno ulitegemea kweli wapande chai harage wanapokuja kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…