Chama cha Walisha Fisi.

Chama cha Walisha Fisi.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Hiki ni chama gani jamani? Huu ujuzi wao unatisha maana si unaweza kuliwa Pua au uso?

hqdefault.jpg
 
Hizo jezi mbona kama za chama chetu? Au ndo ile kamati yetu ya ufundi inafanya vitu ili kuwezesha wizi wa kura ufanyike bila kukamatwa?
 
sasa we unamwambia mtu akupige picha halafu una upload unauliza hiki ni chama gani, wakati wewe ndio unatakiwa utuambie hapo ulikuwa wapi?
 
Unauliza chama wakati SARE zake zinajieleza ni chama gani.
 
Back
Top Bottom